Hamna mkuu saiz yangu kabisa yule, sema mm maisha magumu ndo maana naonekana bibiNaogopa utaenda kummbemenda mtoto
kwa hiyo mkuu unataka dogo ndio akurahisishie maisha au? ha ha huyu mtoto muache kwanza akue. si unaona mwenzake yule wa mtwara saivi nae yuko na bibi kizee?Hamna mkuu saiz yangu kabisa yule, sema mm maisha magumu ndo maana naonekana bibi
Hongera, kaza buti kula matunda
Eiish!Kwa hiyo kuwa na nyumba na Gari ndo maendeleo?