Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

Hamna mkuu saiz yangu kabisa yule, sema mm maisha magumu ndo maana naonekana bibi
kwa hiyo mkuu unataka dogo ndio akurahisishie maisha au? ha ha huyu mtoto muache kwanza akue. si unaona mwenzake yule wa mtwara saivi nae yuko na bibi kizee?
 
Hiyo gari si ina namba za usajiri, iangalieni imesajiriwa kwa jina la nani muanzie hapo.
 
Kwenye nyumba mbona imekuwa ngumu kwani gariDr alinunua kwa pesa ipi? Hata timu za mpira zinasajili mchezaji kabla hata hajacheza mechi moja lakin wanaweza kumpea nyumba na gari. Inawezekana wamewekeza ama kapangisha ila yote ni tisa , kumi Dogo ana kwake.
 
Back
Top Bottom