Raymond: Nilikata tamaa ya maisha

Raymond: Nilikata tamaa ya maisha


Hapo ndo kwenye point yangu
kama Raymond au Harmonize hawajui hata malipo ya jumla wamelipwa kiasi gani na Google
utasemaje 'wanalipwa'?
usikute wanacholipwa ni chini ya asilimia kumi ya kilichoingia...
 
Sikusema ninajua kwavile najua hutoamini,ila kama utaamini basi chukua hii MIMI NI MTU WA KARIBU NA WCB.
Sija mind ila wewe ni mgumu wa kuelewa

Wewe unachoongea sio fact
mimi nimeuliza na nime speculate tu
je hao wasanii wanapata pesa zao direct from you tube?
au labda mtu mwingine anapokea na wao kupewa kidogo?
sikuandika kama nina uhakika
it was just a question....

Wewe umeibuka kunishangaa mimi na ku doubt uwezo wangu
halafu kumbe unachoongea wewe ni hisia zako tu
kwa jinsi ulivyo sikia....sio fact
wala hata mikataba yao WCB huijui...
Ok tumewaelewa
 
Hapo ndo kwenye point yangu
kama Raymond au Harmonize hawajui hata malipo ya jumla wamelipwa kiasi gani na Google
utasemaje 'wanalipwa'?
usikute wanacholipwa ni chini ya asilimia kumi ya kilichoingia...
Ok, nimekupata.
 
Miaka minne kusota kwenye gemu dogo alikata tamaa huku wakongwe sie tulianza na enzi za GWM bado tunatafuta pa kutokea na wala hatujachoka kweli watoto wa siku hizi wanapenda mteremko
 
Dogo Kwa shaili kama nyegezi tetema kama jeneleta ni hatari hahahahahaha uchafu mtupu pale mkali wao ni harmonize tu basiii
 
Back
Top Bottom