samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Hapana.Okay tuseme wewe ni mtu karibu wa WCB
je kina Raymond na Harmonize wamewahi wao wenyewe kupokea cheque za Google?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.Okay tuseme wewe ni mtu karibu wa WCB
je kina Raymond na Harmonize wamewahi wao wenyewe kupokea cheque za Google?
Hapana.
Sikusema ninajua kwavile najua hutoamini,ila kama utaamini basi chukua hii MIMI NI MTU WA KARIBU NA WCB.
Ok tumewaelewaSija mind ila wewe ni mgumu wa kuelewa
Wewe unachoongea sio fact
mimi nimeuliza na nime speculate tu
je hao wasanii wanapata pesa zao direct from you tube?
au labda mtu mwingine anapokea na wao kupewa kidogo?
sikuandika kama nina uhakika
it was just a question....
Wewe umeibuka kunishangaa mimi na ku doubt uwezo wangu
halafu kumbe unachoongea wewe ni hisia zako tu
kwa jinsi ulivyo sikia....sio fact
wala hata mikataba yao WCB huijui...
Ok, nimekupata.Hapo ndo kwenye point yangu
kama Raymond au Harmonize hawajui hata malipo ya jumla wamelipwa kiasi gani na Google
utasemaje 'wanalipwa'?
usikute wanacholipwa ni chini ya asilimia kumi ya kilichoingia...
Dogo kwa mashairi namkubali sana.
Hakika ana kipaji!