Raymond wa Wasafi ana uhusiano gani na huyu kijana wa kiume?

HIVI MAKONDA ALIISHIAGA WAP NA ILE MOVEMENT
 
Huyu kijana @kidotibyb ni shoga, hawa huwa mara nyingi wana tabia ya kuwapenda wanaume wenzao kwa nguvu, hata kama wao hawawataki.

Nilishaona pia kwa shoga mwingine aitwaye JAMES DELICIOUS alikuwa akimlazimisha mwanaume mwezie aitwa JUMA- JUX,.
Unauzoefu na mashoga? Khaaa
 
tupigen magoti tusali tu!&![emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
 
Nini tiba mkuu
 
Sometimes kuwa mzazi ni majaribu makubwa sanaa... Hivi mshua wake akiona hizo si anaweza piga shaba hako kashoga katoto?????
 
tukae tukubali tu kuwa tumeshachelea kitu tunachoweza hivi sasa ni kutambua jinsi gani kuishi nao tu na kuchukulia kitu cha kawaida,la sivyo wengi waja...siku zote mtoto unachomkanya ndicho anachotaka kukijaribu...........
 
Mtoto anaanza kupata ufahamu wa jinsia yake akiwa na umri wa miaka mitatu, chini ya hapo bado jinsia yake inakua changamoto kwake.
 
Hawa jamaa mbona lately wanajitokeza kwa Kasi hivi
unajua usipokichokonoa kichuguu utadhani kuna mcha watano tu, sasa bwana wewe kichokonoe ndo utajua mchwa kwao kichuguu.
 
Huyu kijana @kidotibyb ni shoga, hawa huwa mara nyingi wana tabia ya kuwapenda wanaume wenzao kwa nguvu, hata kama wao hawawataki.

Nilishaona pia kwa shoga mwingine aitwaye JAMES DELICIOUS alikuwa akimlazimisha mwanaume mwezie aitwa JUMA- JUX,.
we jamaa kumbe unafuatiliaga udaku
 
Naishauri Serikali Ijaribu Kudhibiti Tamthilia za Kifilipino,Kimexico na Kichina!Kwani Huwezi Kuzimaliza Hizi Pasipo Kukutana na Mhusika Mmoja Ambae Anaiigiza Shoga!
Hizi Tamthilia Zinazo Wafanya Watoto Wetu Waone Kuwa Kuwa Shoga Is A Normal Way of Life!
Nape Afanye Yake Hapo,Sio Tu Kuishia Kuparamia UKUTA Na Mwishowe Kuangukiwa Nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…