bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,985
Jaman nimecheka hakuna mfano, uwwiiiiiiieeeee auwuiiiii, kweli Leo nimecheka sanaKwahiyo mzazi akate tamaa juu ya kumsaidia mwanae kisa huyo Bilionea alishindwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman nimecheka hakuna mfano, uwwiiiiiiieeeee auwuiiiii, kweli Leo nimecheka sanaKwahiyo mzazi akate tamaa juu ya kumsaidia mwanae kisa huyo Bilionea alishindwa?
HIVI MAKONDA ALIISHIAGA WAP NA ILE MOVEMENTLeo katika kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post za kijana wa kiume ambazo zinamuhusu msanii Raymond wa wasafi,post za kijana huyo ni tata kiasi kwamba nilishindwa kufahamu kijana huyo anauhusiano gani na msanii huyo wa wasafi?post za huyo kijana ni hizi hapa kama zilivyopostiwa na Huyo kijana maana inaonyesha wanafahamiana!View attachment 393393View attachment 393394View attachment 393396View attachment 393397
Unauzoefu na mashoga? KhaaaHuyu kijana @kidotibyb ni shoga, hawa huwa mara nyingi wana tabia ya kuwapenda wanaume wenzao kwa nguvu, hata kama wao hawawataki.
Nilishaona pia kwa shoga mwingine aitwaye JAMES DELICIOUS alikuwa akimlazimisha mwanaume mwezie aitwa JUMA- JUX,.
Huyo naye ana movement nyiiiingi mpaka hajui aanze na ipi!HIVI MAKONDA ALIISHIAGA WAP NA ILE MOVEMENT
[emoji106][emoji106] Word..Ila tujiulize hawa watu wanaingiliwa na kina nani??kama sio wanaume nyie
Nini tiba mkuuUkimtazama huyo kijana ni dhahiri ndani ya ubongo wake anajiona msichana
wataalam wanaita 'gender disorder'
hutokea kwa baadhi ya watoto ubongo ukatambua jinsia ingine
wakati watoto wana mizei mitatu
wengine hurudi kuwa norma wengine hairudi....
ndo hawa.....
ni ugonjwa tu wa ubongo....kumtukana sana wala sio dawa
Nipe dawa mkuu nikampe!Nini tiba mkuu
Mtoto anaanza kupata ufahamu wa jinsia yake akiwa na umri wa miaka mitatu, chini ya hapo bado jinsia yake inakua changamoto kwake.Ukimtazama huyo kijana ni dhahiri ndani ya ubongo wake anajiona msichana
wataalam wanaita 'gender disorder'
hutokea kwa baadhi ya watoto ubongo ukatambua jinsia ingine
wakati watoto wana mizei mitatu
wengine hurudi kuwa norma wengine hairudi....
ndo hawa.....
ni ugonjwa tu wa ubongo....kumtukana sana wala sio dawa
unajua usipokichokonoa kichuguu utadhani kuna mcha watano tu, sasa bwana wewe kichokonoe ndo utajua mchwa kwao kichuguu.Hawa jamaa mbona lately wanajitokeza kwa Kasi hivi
Nini tiba mkuu
we jamaa kumbe unafuatiliaga udakuHuyu kijana @kidotibyb ni shoga, hawa huwa mara nyingi wana tabia ya kuwapenda wanaume wenzao kwa nguvu, hata kama wao hawawataki.
Nilishaona pia kwa shoga mwingine aitwaye JAMES DELICIOUS alikuwa akimlazimisha mwanaume mwezie aitwa JUMA- JUX,.