Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Labda akamkabidhi huko Madina ama Vatican kwa wewe utaombea hadi utafute kivuli upumzike.So sad kwa mwenye mtoto inabidi afanye juu chini kumrudisha kijana wake katika hali ya kawaida..uchungu wa mwana aujuae mzazi asee
Ndio unaamini kwamba dunia sa hivu vululuvululu......hii ni laana na inawindda watu pia no one us safe usipokuwa makinijumapili iliyopita nilikutana na mtoto wa 18yrs wa kiume saluni alikua yupo hv niliongea nae mengi pamoja na kuniambia yeye anajiona mwanamke
hata akiguswa na mwanamke hasisimki ila akiguswa na mwanaume anasisimka
aliniambia mengi hadi leo nimemkwepa nilipomuona
kiufupi alikuwa hivyo tangu alivyoanza kujielewa ila wazazi wake waliamini atabadilika akikua ila haikua hvyo aliacha shule fm3 kwa sababu alizokataa kuniambia
kilichonishangaza huwa anapata mitongozo au kuombwa namba ya simu watu kati ya 10 hadi 15 kwa siku wengine wakiwa ni watu wazima
how, mpaka anakuja kugunduliwa hivyo kesha bobea. Anagombea wanaume . Kama kadondokewa na kitovu ndio mbaya zaidi, hakuna namna!samaki mkunje....... , bado mapema huyo dogo anaweza saidiwa kama zitachukuliwa jitiada za makusudi
WanafadhiliwaHawa jamaa mbona lately wanajitokeza kwa Kasi hivi
Mwambie rafiki yako aache upumbavu hizo tabia zenu za kijinga acheni bado watoto wadogo sana nyinyi!khaaaaaaaaaa haloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
tumetajwa tena kwa herufi kubwa wapii shoga angu kidotyyyyy
pita huku umetajwa bibi weeeeee
wanatufatilia insta wanakuja kutupost humu
chefuuuuuuuuu
kidoty ngoja aje utamweleza alokuruhusu kuja kumpost humu
ukiwa,star usijal skendoo
chefuuuuuu. usitafute kiki mtoa post kupitia sisi
utachoka ngoja kidoty aje
khaaa utasema babu
khaaaaaaaaaa haloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
tumetajwa tena kwa herufi kubwa wapii shoga angu kidotyyyyy
pita huku umetajwa bibi weeeeee
wanatufatilia insta wanakuja kutupost humu
chefuuuuuuuuu
kidoty ngoja aje utamweleza alokuruhusu kuja kumpost humu
ukiwa,star usijal skendoo
chefuuuuuu. usitafute kiki mtoa post kupitia sisi
utachoka ngoja kidoty aje
khaaa utasema babu
Mjini waaaaraaaab wamejaaa na wazee wa pwaaaaaaanLakini watu wana roho mbaya,wameshakitatua malinda kitoto cha watu kipo kinarembua tu.