Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Labda akamkabidhi huko Madina ama Vatican kwa wewe utaombea hadi utafute kivuli upumzike.So sad kwa mwenye mtoto inabidi afanye juu chini kumrudisha kijana wake katika hali ya kawaida..uchungu wa mwana aujuae mzazi asee