Nadhan hawa wasanii wachanga wasome historia vizur,rayvanny anasema yeye ndo msanii wa kwanza kupanda kwenye majukwaa makubwa,hajui kwamba kuna watu walisha perform kwenye majukwaa makubwa kitambo kabla ya internet na instagram? Anawajua TATU NANE BAND? haws waliperform ulaya kwenye stage kubwa,je anawajua JAGWA MUSIC?
Aende tu youtube aangalie zile perfomance za holland pale amsterdam,sweden,atafuta hii kauli yake,anawajua xplastaz? Kina faza nelly? Hawa walisha perfom mpaka Sao paul brazil kwenye matamasha achilia mbali show zao hollande,swedish...namalizia na sugu aka taita huyu nae atasemaje kama Ray vanny anasema ndo msanii wa kwanza kuperfom kwenye international stage? Je anajua xplastaz walishiriki BET CYPHER? na akachana kiswahili mbele ya KRS one? Tuwafundishe historia wadogo zetu