bablai2020
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 149
- 373
Mimi msanii atakayepata mafanikio kisha aendelee kukaa Lebo nitamshangaa sana...Lebo zinaumiza sana huku mbeleni..nilimsikiliza vizuri konde ile siku alipoamua kufunguka..yaani Lebo mkataba wao ulivyo ni hata ukifanya kitu kwa jitihada zako Makato ni yake yake..alisema hadi anatoka wcb alirekodi zaidi ya nyimbo 50 ila alizolipiwa na Lebo hazizidi nane tu..
Ila ikija kwenye Makato wanataka 60 kwa 40..msanii lazima uumie..maana Wana msemo wao wanakusimamisha ,ukianza kutembea wanakuachia ujiongeze..hapo mchango wa Lebo unakuwa mdogo ila wanataka Chao.
Nawashauri wasanii wote.mikataba ya miaka kumi ni mingi mno..wekeni walau mitatu au mitano..hizi Lebo zinawafanya kama watumwa.hata Hawa kina mboso lavalava na zuchu..watatoka tuuu.ukikaa ndani ya lebo.labda kama Lebo ya baba y'ako..maana mfano mzuri wcb ni msanii Gani ana deal za maana pale kama diamond..? Jibu ni hakuna..mwangalie harmonize alipotoka pale alilamba madili mangapi? Naamini alilipa mil 600 ila baada ya mwaka ikarudi na faida kede kede...
Naamini hata rayvany akityliza akili atapata mafanikio na fedha zaidi kuliko alipokuwa Lebo..ila ajiandae kwa figisu za waswahili wa wcb..