Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mwamba ana nyonyoKabla ya kunyonywa na label ya kinyonyaji alikua wapi kimuziki???
Ili mfikisha wapi na sasa yuko wapi???Alikuwa label nyingine ya kinyonyaji ile ya manzese
Ana mafanikio gani ikiwa hata nyumba hana na kodi analipiwa na WCB!Ili mfikisha wapi na sasa yuko wapi???
Kama ananyonywa na wcb na anamafanikio haya tunayoyaona basi wapo ambao hawako wcb na hawanyonywi ambao tungeshaona mafanikio yao makubwa kuzidi aliyonayo ray.
Ila Rayvan yuko kwenye top five ya wasanii wenye mafanikio kimuziki.
Angekua ananyonywa angekwepo hapo alipo sasa???
Kwani wewe ukiambiwa neno mafanikio lina maana gani kwako?Ana mafanikio gani ikiwa hata nyumba hana na kodi analipiwa na WCB!
Unamuuliza nani sasa, mimi au mtoa mada!Kwani wewe ukiambiwa neno mafanikio lina maana gani kwako?
Rayvanny amekuwa smart Sana na WCB kiujumla umeona kuondoka kwake kuna mapovu ya mashabiki wa WCB? So hiyo vita sioni kwasababu move yake ina ustaarabu na ndio maana mashabiki wa Wasafi ukienda kwenye page yake kapata reaction nzuri Sana tofauti na move ya Harmonize.Faida ya Rayvanny atakayopata atakuwa na mashabiki wa Wasafi na atatengeneza mashabiki wengine wapyaHuwezi toka wcb et bado ukasema umetoka kwa amani ,...
Rayvanny ajiandae kupambana vita ,tana vita Kali kweli kweli ...
Atafute mbinu kutoka kwa Konde boy...
Wewe hapoUnamuuliza nani sasa, mimi au mtoa mada!
Mafanikio kwenye kamusi ya kiswahili ni uwezo mkubwa wa kifedha! Yaani ukwasiWewe hapo
Wanaotoka povu na wanaaoonekana kuumia naona ni haters wa WCB.Timu chai jaba wanatamani kumletea bifu ila wamekosa sababu nasubiria kolabo yake na harmo tuone mapovu
Nadhan hawa wasanii wachanga wasome historia vizur,rayvanny anasema yeye ndo msanii wa kwanza kupanda kwenye majukwaa makubwa,hajui kwamba kuna watu walisha perform kwenye majukwaa makubwa kitambo kabla ya internet na instagram? Anawajua TATU NANE BAND? haws waliperform ulaya kwenye stage kubwa,je anawajua JAGWA MUSIC?Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani.
Mondi ni habari nyingine aiseee, Konde boy ni msanii wa hapa hapa exposure ndogo apambane kwanzaSijui lakin naona Konde boy yupo poa ana vibe saf kabisa na ni mbadala wa mondi hapa nchni
Matamasha ya bonanza hayo sio kama stage kubwa kama MTV sio kila anaeenda kuperfom ulaya au america anaenda kuimba stage za maana. Rayvanny kaperfom tamasha la MTV international hao kina jagwa wanaperfom mabonanza kama uku mtu aimbe bagamoyo paleNadhan hawa wasanii wachanga wasome historia vizur,rayvanny anasema yeye ndo msanii wa kwanza kupanda kwenye majukwaa makubwa,hajui kwamba kuna watu walisha perform kwenye majukwaa makubwa kitambo kabla ya internet na instagram? Anawajua TATU NANE BAND? haws waliperform ulaya kwenye stage kubwa,je anawajua JAGWA MUSIC? aende tu youtube aangalie zile perfomance za holland pale amsterdam,sweden,atafuta hii kauli yake,anawajua xplastaz? Kina faza nelly? Hawa walisha perfom mpaka Sao paul brazil kwenye matamasha achilia mbali show zao hollande,swedish...namalizia na sugu aka taita huyu nae atasemaje kama ray vanny anasema ndo msanii wa kwanza kuperfom kwenye international stage? Je anajua xplastaz walishiriki BET CYPHER? na akachana kiswahili mbele ya KRS one? Tuwafundishe historia wadogo zetu