Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
GhahahahKuanguka jukwaani ndo avunjike mikono yote! Atakuwa na mifupa ya udongo labda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GhahahahKuanguka jukwaani ndo avunjike mikono yote! Atakuwa na mifupa ya udongo labda.
Niliiona hiyo ambayo walitumbukia chini ya jukwaa na majeraha wliyopata yalikuwa ni michubuko tu, kwa hiyo unamaanisha hiyo ya jana ilikuwa ni mbaya zaidi ya ile ya sumbawanga?mkuu ujawahi kuudhulia kweny show zao kuna show uko sumbawanga waliruka juu hadi jukwaa likavunjika
😀 😀 😀 😀 we jamaa, futi nane kabisa!!Ndio mkuu ile nyimbo uwa wanaruka juu kama futi 8 hivi
video inatisha mkuu uwezi kuangalia mara mbili,,, aliruka juu akafikia mikono ikalia kooo ndo Baba levo akamuinua mikono ikiwa tayari iahavunjikaNiliiona hiyo ambayo walitumbukia chini ya jukwaa na majeraha wliyopata yalikuwa ni michubuko tu, kwa hiyo unamaanisha hiyo ya jana ilikuwa ni mbaya zaidi ya ile ya sumbawanga?
NB. Sijaona video ya tukio hilo.
Aisee.hapa nadani tunazungumzia kuvunjika kwa rayvany
Ohoooo, Diamond kaanza makafara yake sasa.jana kwanye show ya Wasafi tumewasha na tigo ilibidi show ighailishwe baada ya Rayvany kucheza nyimbo yake ya Nyegezi akaanguka na kuvunjika mikono yote miwili
Kelele tu, hushawahi ona show ya kibongo fleva isiyo na kelele? Bongo fleva inafaa kusikiliza redioni tu na si kuhudhuria live, hovyo kabisa.Hizi live show hua wanaimba au hua ni makelele tuu?
"Ikalia kooo..."video inatisha mkuu uwezi kuangalia mara mbili,,, aliruka juu akafikia mikono ikalia kooo ndo Baba levo akamuinua mikono ikiwa tayari iahavunjika
Hahahha eti aliruka juu jufika chini ikalia kooo"Ikalia kooo..."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona CHAI yako baada ya kugundua haina sukari,umeamua kuikoleza sukari,koleza koleza kaka.......
Ebu nipe taarifa kuhusu hao vijana wako, Toka watambulishwe huko Konde gang wamefanya nini au walisainiwa kua mahouse boy.. Harmoniz na Ibra wanaachia nyimbo wao vip,?Nachokukubali habari za WCB unazifuatilia,ila usisahau kutupostia ujio wa Cheed na Killy kutoka Konde Gang kama ulivyo kuwa unawafanyia wakiwa King Music.
[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] hii chaiii kabisaa hii mkuuKuanguka jukwaani ndo avunjike mikono yote! Atakuwa na mifupa ya udongo labda.
Wewe ndiye kila siku ulikuwa unatuletea habari zao,nimekukumbusha sasa hivi utupe habari zao Cheed na Killy from Konde Gang,manake naona kimya tofauti na ulivyokuwa ukiwa support zamani.....Ebu nipe taarifa kuhusu hao vijana wako, Toka watambulishwe huko Konde gang wamefanya nini au walisainiwa kua mahouse boy.. Harmoniz na Ibra wanaachia nyimbo wao vip,?
😂😂😂😂😂 noma mkuuNdio mkuu ile nyimbo uwa wanaruka juu kama futi 8 hivi
Ni kuonyesha tu kwamba na wao wana leboEbu nipe taarifa kuhusu hao vijana wako, Toka watambulishwe huko Konde gang wamefanya nini au walisainiwa kua mahouse boy.. Harmoniz na Ibra wanaachia nyimbo wao vip,?