Rayvanny aanguka na kuvunjika mkono stejini

Rayvanny aanguka na kuvunjika mkono stejini

mkuu ujawahi kuudhulia kweny show zao kuna show uko sumbawanga waliruka juu hadi jukwaa likavunjika
Niliiona hiyo ambayo walitumbukia chini ya jukwaa na majeraha wliyopata yalikuwa ni michubuko tu, kwa hiyo unamaanisha hiyo ya jana ilikuwa ni mbaya zaidi ya ile ya sumbawanga?

NB. Sijaona video ya tukio hilo.
 
video inatisha mkuu uwezi kuangalia mara mbili,,, aliruka juu akafikia mikono ikalia kooo ndo Baba levo akamuinua mikono ikiwa tayari iahavunjika
 
jana kwanye show ya Wasafi tumewasha na tigo ilibidi show ighailishwe baada ya Rayvany kucheza nyimbo yake ya Nyegezi akaanguka na kuvunjika mikono yote miwili
Ohoooo, Diamond kaanza makafara yake sasa.
 
"Ikalia kooo..."

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona CHAI yako baada ya kugundua haina sukari,umeamua kuikoleza sukari,koleza koleza kaka.......
Hahahha eti aliruka juu jufika chini ikalia kooo
 
Nachokukubali habari za WCB unazifuatilia,ila usisahau kutupostia ujio wa Cheed na Killy kutoka Konde Gang kama ulivyo kuwa unawafanyia wakiwa King Music.

[emoji1787][emoji1787]
Ebu nipe taarifa kuhusu hao vijana wako, Toka watambulishwe huko Konde gang wamefanya nini au walisainiwa kua mahouse boy.. Harmoniz na Ibra wanaachia nyimbo wao vip,?
 
Huyu jamaa alikuwa anatafuta attention ya kuachia Albam yake hamna kipya
 
Ebu nipe taarifa kuhusu hao vijana wako, Toka watambulishwe huko Konde gang wamefanya nini au walisainiwa kua mahouse boy.. Harmoniz na Ibra wanaachia nyimbo wao vip,?
Wewe ndiye kila siku ulikuwa unatuletea habari zao,nimekukumbusha sasa hivi utupe habari zao Cheed na Killy from Konde Gang,manake naona kimya tofauti na ulivyokuwa ukiwa support zamani.....

🤣🤣🤣
 
Ebu nipe taarifa kuhusu hao vijana wako, Toka watambulishwe huko Konde gang wamefanya nini au walisainiwa kua mahouse boy.. Harmoniz na Ibra wanaachia nyimbo wao vip,?
Ni kuonyesha tu kwamba na wao wana lebo
 
Back
Top Bottom