Rayvanny aanguka na kuvunjika mkono stejini

Nimeingalia ile video zaid ya mara 10 nimejiridhisha kuwa lile tukio limekua staged mana kuanguka kule ni kwakupanga kabisa yan unaona anajibetua kabisa na anaangalia pakudondokea labda nahisi wasafi hawakutaka kwenda kwenye afterpaty wakaona watengeneze sababu solid
 
Hiyo ndo sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…