Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mrejesho zaidi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo sababuNimeingalia ile video zaid ya mara 10 nimejiridhisha kuwa lile tukio limekua staged mana kuanguka kule ni kwakupanga kabisa yan unaona anajibetua kabisa na anaangalia pakudondokea labda nahisi wasafi hawakutaka kwenda kwenye afterpaty wakaona watengeneze sababu solid
Pole kwakeJana kwanye show ya Wasafi tumewasha na Tigo ilibidi show ighailishwe baada ya Rayvany kucheza nyimbo yake ya Nyegezi akaanguka na kuvunjika mikono yote miwili.
Wewe ni muongo "SANA."video inatisha mkuu uwezi kuangalia mara mbili,,, aliruka juu akafikia mikono ikalia kooo ndo Baba levo akamuinua mikono ikiwa tayari iahavunjika