sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wamakonde hawawezi hizi level wao tumewaachia washindane kiki za insta na kina hamorapa na kina ambaruti.WAMAKONDE SIJUI KAMA WATAKUELEWA MANAKE HAWAAMINI RAYVANNY ANAJUA KULIKO BONGE WAO
Anapiga shows majukwaa ambayo msanii wako pendwa hatokaa aguse.Hamna mtu humo ,dogo anazurura tu
Namba hazidanganyi, mmakonde anakimbizwa tangu akiwa wasafi.Mazuzu wanamfananisha rayvany na konde boy sasa konde boy angekuwa wasafi huyo rayvan angemkamata kwa viewers atoke kwanza wasafi halafu ndio tumlinganishe na konde boy unadhani fitna anazofanyiwa konde boy rayvan anaziweza.
Hiyo sio promo hizo ni namba yani zinamaanisha msanii ambaye muziki wake una demand kubwa east africa ni Ray. Sasa ukitaka kubisha uje na namba zako chuki zako hazibadilishi chochote jamaa ndio kwanza anapanda kwenye stages kubwa duniani na bado yupo sana kwenye management inayojielewa Africa yani WCB.Kwa ile ep yake ya new Chui ilivyofulia Huko boomplay
Nazidi kuona namna Promo uchwara zilivyo nyingi.
KUNA WATU SIO WA KUBISHANA NAO, WANAWEZA KUBISHANA HATA NA TAKWIMU ZINAZOONEKANA WAZI KABISA.Hiyo sio promo hizo ni namba yani zinamaanisha msanii ambaye muziki wake una demand kubwa east africa ni Ray. Sasa ukitaka kubisha uje na namba zako chuki zako hazibadilishi chochote jamaa ndio kwanza anapanda kwenye stages kubwa duniani na bado yupo sana kwenye management inayojielewa Africa yani WCB.
Acha wivu hiyo mi true kabisa, halafu rayvan kama hujui ni msanii mwenye bahati sana coz hata tuzo anachukua zile ambazo mondi anazitamani lakin hapati na vanny hapendi mikiki hiyoHamna mtu humo ,dogo anazurura tu
Tuzo gan kabeba ? BET ya mchongoAcha wivu hiyo mi true kabisa, halafu rayvan kama hujui ni msanii mwenye bahati sana coz hata tuzo anachukua zile ambazo mondi anazitamani lakin hapati na vanny hapendi mikiki hiyo
Chui to the world.
Kumbe kuna BET ya mchongo? Basi acha mpigwe tu na vitu vizito mchakae ππππTuzo gan kabeba ? BET ya mchongo
Ona hii product ya shule zinazofundisha ujinga. Hapo unakuta haelewi chochote kuhusu biashara ya streams anatema chuki tuKama kuna views fake za kununua basi hata streams nazo huenda ni za mchongo pia