ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hapo ni mil100* 0.4 = mil40, views mil 60 zilizobaki hela zinaenda kwa Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisingizio cha eti anafanyiwa fitna ni upumbavu wa hali ya juu, supported by Clouds media, EA TV na ile TV ya Majizo. Kuna You Tube na digital platforms kibao yaani vyote hivyo hakuna wa kumuingilia.Mazuzu wanamfananisha rayvany na konde boy sasa konde boy angekuwa wasafi huyo rayvan angemkamata kwa viewers atoke kwanza wasafi halafu ndio tumlinganishe na konde boy unadhani fitna anazofanyiwa konde boy rayvan anaziweza.
[emoji851][emoji851][emoji851]Anapiga shows majukwaa ambayo msanii wako pendwa hatokaa aguse.
Ana tuzo ambayo msanii wako pendwa hatokaa aishike.
Anauza muziki wake kuliko wasanii wako pendwa ukiwajumlisha pamoja.
Kwa kifupi thamani yake ni kubwa kuliko wasanii wako pendwa combined.