Rayvanny ajenga nyumba kisha aichoma moto

Kama nyumba yao ya Urithi yupo sahihi😂 ila kusema amelipa milion 60 kisha akaziwasha moto sio kweli
 
Hamna nyumba iliyochomwa pale. Kama ni kweli leta picha ya mabaki
 
Special Effects, bit of green screen na lighting technics angesave pesa nyingi.
Au angetumia adobe after effects pekee.
 
Hapn Ukweli hapo, nyumb gan imechomwa [emoji91]
 
Chawa hana shukurani kabisa yaani.
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani huyu jamaa kapitiliza levo ya unaafiki dooohh!Leo anamponda wazi wazi vanny boy[emoji853][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…