Rayvanny ajenga nyumba kisha aichoma moto

Rayvanny ajenga nyumba kisha aichoma moto

Kama nyumba yao ya Urithi yupo sahihi😂 ila kusema amelipa milion 60 kisha akaziwasha moto sio kweli
 
Hamna nyumba iliyochomwa pale. Kama ni kweli leta picha ya mabaki
 
Special Effects, bit of green screen na lighting technics angesave pesa nyingi.
Au angetumia adobe after effects pekee.
 
Back
Top Bottom