Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

Kama vya baba yako.
Mzalie mzee wa domo jekundu aka mr. Lipstick ili uanze kupewa interviews wafasi fm🤣

Niambie ni msanii gani mwingine amewahi kupewa BET viewers choice Africa zaidi ya huyo tipwa tipwa mwenye matiti🤣

Hicho ki-viewers choice labda hata aligawa tundu ndio akapewa, maana ni kituzo useless cha kuchonga tu. Na alivyopewa tu kikafia hapo hapo.
 
Pesa anazo maana ndio msanii anayeongoza na streams digital platforms zote kumtoa Diamond platinumz.

Shows ndio msanii anaongoza kwa shows baada ya diamond platinumz, ingia account Yake.

Endorsement kafanya sana Tena big brand Kama coca cola sio sayona[emoji23][emoji23][emoji23]

N. B Rayvanny Ni mkubwa sana kuliko huyo matako makubwa BET WINNER
 
Kwani umesha mzalia kibamia na matako makubwa wa kimakonde watoto wangapi[emoji23]
 
Pesa za digital platforms zina mgao mkubwa. Yeye anasubiria kupewa tu kimgawo.

Hana pesa ndio maana katafuta bwana sponsor huko Zimbabwe.

Hana ubavu hata wa kumiliki PASSWORD ya YouTube Channel yake, sembuse pesa🤣

Shows gani kafanya ?

Ondoa tamasha la Wasafi tumewasha Tour, maana huko alikuwa anatumika tu kama msukule.

Hiyo endorsement ya Cocacola ni ya nchi gani ? Au Coca ya Sponsor Mzimbabwe🤣
 
Na wewe una nini? Au ndio wanao watakuja kurithi hizi thd unazofungua kila siku JF za kusifu hela za wanaume wenzako?

Dogo umri hausubiri mtu,angalia usije ukawapa watu tabu uzeeni mwako.
 
RAYVANNY NI MKUBWA KULIKO matako makubwa wa kimakonde full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…