Unapeeenda [emoji23]Kumekuchaaaaaaaa!!!! Mtoto pendwa wa WCB leo anataka kuharibu nyumbani kwake. Weraaaaaaaaaaaah
Nipo na [emoji897][emoji897] hapa, nasubir povu za chawa wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm sijui sana kuhusu muziki ila ninachojua hakuna uwekezaji wa kusameehana. Labda kanisani. Uwekezaji wowote unalindwa na mkataba.Kwenye ishu ya pesa wengi tu nafsi hubadilika, diamond anawakilisha wengi, sisi tunaona rayvanny kama msanii, diamond anamuona ni kiingiza fedha ofisini kwake hapo ndipk shida huanzia.
Inabidi tu tuwaele wote, kuna wakati mondi anakuwa sahihi, hata majuu huko msanii kuondoka kwenye label wengine wanamaindiana.
Ni vema mondi akawa anasamehe sababu kusamehe inonesha ukubwa na ukomavu, lakini si lazima sababu kaweka fedha akitegemea apate fedha.
Rudia tena kusoma nilichoandika.Mm sijui sana kuhusu muziki ila ninachojua hakuna uwekezaji wa kusameehana. Labda kanisani. Uwekezaji wowote unalindwa na mkataba.
Kwa org kubwa mkataba haumuhusishi CEO tu, kwani huyu msanii amekuzwa na CEO tu? Naamini kuna waliomvalisha, waliomlisha, waliompamba, waliomfundisha namna ya kuwasiliana na personality mpaka akawa namna alivyo. Wale wote wanatakiwa walipwe kwa hiyo kazi.
Hii mikataba ni utumwa mambo leo, hawawezi kushikilia njia za mapato za Rayvan kama hivi. Kawaida kampuni iwe inaingiza mapato kwa mauzo ya album na concert tena kwa 40% au 60% tu.Kuna kitu nadhani hakiko Sawa pengine hata hiyo percent ya kwenye mkataba hawapati. Acha tunywe supu nyama tutazikuta chini
😆sinza pazuri njoo udhibitishe uhalali wa huu Uzi
Wewe ungeweza kuwafikisha hapo walipo leo?Domo ni bonge la jizi na nyonyaji,
Mbona hujamtag sinza pazuriKumekuchaaaaaaaa!!!! Mtoto pendwa wa WCB leo anataka kuharibu nyumbani kwake. Weraaaaaaaaaaaah
Nipo na [emoji897][emoji897] hapa, nasubir povu za chawa wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilielewa ulichoandika na nikaweka nyongeza juu ya ulichosema. Kwann nirudie?Rudia tena kusoma nilichoandika.