Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Kwenye ishu ya pesa wengi tu nafsi hubadilika, diamond anawakilisha wengi, sisi tunaona rayvanny kama msanii, diamond anamuona ni kiingiza fedha ofisini kwake hapo ndipk shida huanzia.

Inabidi tu tuwaele wote, kuna wakati mondi anakuwa sahihi, hata majuu huko msanii kuondoka kwenye label wengine wanamaindiana.

Ni vema mondi akawa anasamehe sababu kusamehe inonesha ukubwa na ukomavu, lakini si lazima sababu kaweka fedha akitegemea apate fedha.
Mm sijui sana kuhusu muziki ila ninachojua hakuna uwekezaji wa kusameehana. Labda kanisani. Uwekezaji wowote unalindwa na mkataba.

Kwa org kubwa mkataba haumuhusishi CEO tu, kwani huyu msanii amekuzwa na CEO tu? Naamini kuna waliomvalisha, waliomlisha, waliompamba, waliomfundisha namna ya kuwasiliana na personality mpaka akawa namna alivyo. Wale wote wanatakiwa walipwe kwa hiyo kazi.
 
next wahanga wa 'uzulumati' wa domo ni wale ma-chawa, siku zao zina hesabika!
 
Mtamsema diamond bure, mdogo wangu huyu hana shida na mtu aliyesain mkataba wa kufanya kazi na wasafi ni rayvan anayevunja mkataba sio diamond ni rayvan.

Na katika makubaliano anayevunja hulazimika kumlipa anayeathirika kiasi cha pesa hivo anachoday simba lazima alipwe.

Jamaa anatumia hela ndefu mno kuwakuza hawa wasaniii, hebu chukulia harmo alivyoanza alikuwa kitoto flan tu hakina mbele wala nyuma sasa harmo ana kila kitu
 
Mm sijui sana kuhusu muziki ila ninachojua hakuna uwekezaji wa kusameehana. Labda kanisani. Uwekezaji wowote unalindwa na mkataba.

Kwa org kubwa mkataba haumuhusishi CEO tu, kwani huyu msanii amekuzwa na CEO tu? Naamini kuna waliomvalisha, waliomlisha, waliompamba, waliomfundisha namna ya kuwasiliana na personality mpaka akawa namna alivyo. Wale wote wanatakiwa walipwe kwa hiyo kazi.
Rudia tena kusoma nilichoandika.
 
Kuna kitu nadhani hakiko Sawa pengine hata hiyo percent ya kwenye mkataba hawapati. Acha tunywe supu nyama tutazikuta chini
Hii mikataba ni utumwa mambo leo, hawawezi kushikilia njia za mapato za Rayvan kama hivi. Kawaida kampuni iwe inaingiza mapato kwa mauzo ya album na concert tena kwa 40% au 60% tu.

Lakini kuzuwia mpaka account ya YouTube ni kinyume cha sheria hata kwa term and condition ya YouTube yenyewe. Wanamuziki msisaini mikataba ya kinyonyaji namna hii
 
Back
Top Bottom