Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Rayvanny ajiandae tu kupotea kwenye ramani ya Muziki Hana lake Tena.



Hapa umeeleweka Sana mkuu
Na kosa kubwa alilofanya ni kuweka urafiki karibu ili aonewe huruma akitaka jitoa...

Kama wewe waingiza faida afu ukataka jitoa lazima uletewe mizengo
 
Ila Harmo alilipa hela akamalizana nao, huyu Ray inaonesha matarajio yake yamekuwa tofauti, wamchunge atakuwa teja
 
Mm na mziki sio marafiki saaaana, naomba kujua zaidi asipopewa hiyo release letter itamzuia nini huyo Vanny Kufanya musiki wake? Yaan ndio inashikilia Sauti yake au nini hasa sijaelewa.

Kwenye mpira naelewa kuwa itamsadia kupata timu nyingine lkn kwenye mziki nataka ufafanuzi.
 
Release letter Ni Kama termination.
Bila hiyo huwezi kupata biashara yoyote official kutoka kwenye kampuni rasmi.

Hata ngoma zako, ukipeleka kwenye Music aggregators hawawezi kupokea kwasababu bado haki zako, wanamiliki wengine.

Mfano, Kama Rayvanny hajapewa release letter maana yake, wenye uwezo wa kwenda kudai haki zake Boomplay Ni Wasafi siyo yeye
 
Hawa wanapenda amani ukiwa nao, ukibwaga manyanga tu unaamsha vita endelevu. Hizi labels nyingi ni kama biashara ya utumwa tu,kazi kumnufaisha mnyonyaji.
 
Ok nimekupata sasa
 
Tunaleta ujamaa kwenye dunia ya ubepari. Domo simkubali hasa tuhuma zake za kuwagosha watoto mchelemchele. Lakini, kwa hili namsifu. Watoto wa kibongo wengi wasengewasenge lazima uende nao jino kwa jino kwenye mikataba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa yeye kuwagocha hao wali boko boko, wee unapungukiwa nn??? Lol
 
Mbona Dogo kawasaidia sana kuwaandikia nyimbo yaani alikuwa na mchango mkubwa WCB, why wanamfanyia hivo, but kwa uvumi niliosikia si ilisemekana anatakiwa alipe million 800, account yake iachiwe, awe huru
Hivi hiyo account huwa ina umuhimu gani?hawezi kufungua account nyingine akaanza maisha upya?
 
Hivi hiyo account huwa ina umuhimu gani?hawezi kufungua account nyingine akaanza maisha upya?
Ukifungua Account nyingine maana yake hata jina Rayvanny sio lako unatakiwa kubadili.

Ngoma zako zilizoko kwenye account yako ya sasa siyo zako.

Unaanza upya kabisa.
 
Hivi hiyo account huwa ina umuhimu gani?hawezi kufungua account nyingine akaanza maisha upya?
Akianza upya kwanza atawachanganya mashabiki, maana watashindwa elewa ipi ni sahihi, lakini kupata idadi zawa ya wafuasi wa account ni kazi mpaka uje ufikishe idadi ya kukuingizia pesa
 
Basi usisaini, mbona simpo tu...na kama Kampuni ndio itaona ni lazima kuwa na wewe basi wao ndio walegeze masharti yao kabla ya hujasaini.

Nadhani wapo wengi ambao walishindwa kusaini na wakaendelea na shughuli zao kivyao.
 
Huujui msemo wa kuwa maskini hana uchaguzi?
Ukiwanza kanyumba ka mbavu za mbwa ulichokulia wewe na wadogo zako ambavyo ni mzigo kwako na njia ya kuchomoka ni kusaini huo mkataba lazma utasaini tu ujikwamue na njaa ila ustaa ukishakolea ukasahau dhiki ndiko hapo utaanza sikia mkataba mbaya mara nataka tuvunje mkataba.
 
Basi usisaini, mbona simpo tu...na kama Kampuni ndio itaona ni lazima kuwa na wewe basi wao ndio walegeze masharti yao kabla ya hujasaini.

Nadhani wapo wengi ambao walishindwa kusaini na wakaendelea na shughuli zao kivyao.
Tatizo njaa na kutojua sheria ya mkataba wengi ya wasanii wakisikia million akili zao zisharuka. Hapo hufanya makosa pili umaarufu wanaupenda sasa tatizo huja hapa.

Washakuwa maarufu lakini bank account haisomi kama alivyo fikiria ndio akili huanza kumjia.
 
Kwa mara ya Kwanza namsikia Diamond ameendaa kumtambulisha Harmonize pale Radio One kipindi fulani Cha jioni Kama 12 jioni mpaka saa moja. Studio alikuwa Abdallah Mwaipaya.

Na alikuwa anatambulisha wimbo Aiyola. Wimbo wa Kwanza kabisa Kama sijakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…