Hata Kwa harmo mlipiga ramli kama hizi hizi lakini hatimae ame wa prove wrong [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rayvanny ajiandae tu kupotea kwenye ramani ya Muziki Hana lake Tena.
Hapa umeeleweka Sana mkuu
Kina Bob juniorBahati mbaya sana waliomkuza mondie walikua wajinga wengekuwa wanakula kiulaini
Ndoo maana unapata likes nying kuliko mleta madaMtamsema diamond bure, mdogo wangu huyu hana shida na mtu aliyesain mkataba wa kufanya kazi na wasafi ni rayvan anayevunja mkataba sio diamond ni rayvan. Na katika makubaliano anayevunja hulazimika kumlipa anayeathirika kiasi cha pesa hivo anachoday simba lazima alipwe. Jamaa anatumia hela ndefu mno kuwakuza hawa wasaniii, hebu chukulia harmo alivyoanza alikuwa kitoto flan tu hakina mbele wala nyuma sasa harmo ana kila kitu
Hapana kusepa ni lazima kwa kuwa ile ni biashara kwahiyo boss atakuwa anafaiika sana.Swali ni kwa nini wanasepa? Yawezekana hao waliomo wanaishi kwa shida ila mkataba unawalazimisha waendelee kukaa ili watumikie makubaliano.
Una shida nae maana sio kwa chuki hiyo.Domo ni bonge la jizi na nyonyaji,
Rayvan ni takataka tuNa inasemekana kawalipa hela Yao yote , tatizo kuna flow ya pesa hasa show za Maluma , wajuba wanaona watakosa pesa mingi sana wakimwachilia ndani ya miez hii mitatu wanataka wakamue ko kabisa .... Hata hvyo kondeboy alimuonya kabisa huyo dogo wakat akiwa pale airport kwamba ajiangalie Sana asijidanganye kuwa anapendwa
Ndiyo koromeo hawezi kuimbaMm na mziki sio marafiki saaaana, naomba kujua zaidi asipopewa hiyo release letter itamzuia nini huyo Vanny Kufanya musiki wake? Yaan ndio inashikilia Sauti yake au nini hasa sijaelewa.
Kwenye mpira naelewa kuwa itamsadia kupata timu nyingine lkn kwenye mziki nataka ufafanuzi.
Sheria Ifuate mkondoHarmo yupi unayemuongelea, yule wa Kajala ama. Maana Harmo wa Kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali. Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima
Hawa madogo wanaendekeza hata Sana na hawa bongo movie hata pesa wakipewaMsanii anafanya kazi miaka takribani miaka 7 hata uwezo wa kujijengea nyumba binafsi ya hadhi yake Hana
Halafu mnachukulia poa !? No wonder pale Wcb patakuwa na tatizo kweli aisee
Jamaa Wana wanyonya mnooo vijana mbona rayvany alikuwa ni mtiifu sana Kwa diamond imekuaje tena !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inamana hajalipa ao unabwabwaja tu usioyajua mmakonde kalipa kila kitu wew na account zake haziguswiHarmo yupi unayemuongelea, yule wa Kajala ama. Maana Harmo wa Kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali. Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima
Inamana hajalipa ao unabwabwaja tu usioyajua mmakonde kalipa kila kitu wew na account zake haziguswi
Alilipa millioni 500 na mzungu wake waliuza nyumba tatu hadaiwi na mtu yeyote sema mond alitaka kumuandama kisa alikuwa na mzungu na mondi aliona wivu maana hana nyota ya vitu vyeupe ananyota na vitu vyeusi kama zuchuHarmo yupi unayemuongelea, yule wa Kajala ama. Maana Harmo wa Kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali. Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima