Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Msanii anafanya kazi miaka takribani miaka 7 hata uwezo wa kujijengea nyumba binafsi ya hadhi yake Hana

Halafu mnachukulia poa !? No wonder pale Wcb patakuwa na tatizo kweli aisee

Jamaa Wana wanyonya mnooo vijana mbona rayvany alikuwa ni mtiifu sana Kwa diamond imekuaje tena !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rayvanny ajiandae tu kupotea kwenye ramani ya Muziki Hana lake Tena.

Hapa umeeleweka Sana mkuu
Hata Kwa harmo mlipiga ramli kama hizi hizi lakini hatimae ame wa prove wrong [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rayvanny angejipa muda kwanza. Uwezo wake kimuziki hajamzidi sana Chege au Mh. Temba.
 
Kwani jamani mkataba Haina mda kwamba ikifika Miaka kazaa inaisha?
 
Mtamsema diamond bure, mdogo wangu huyu hana shida na mtu aliyesain mkataba wa kufanya kazi na wasafi ni rayvan anayevunja mkataba sio diamond ni rayvan. Na katika makubaliano anayevunja hulazimika kumlipa anayeathirika kiasi cha pesa hivo anachoday simba lazima alipwe. Jamaa anatumia hela ndefu mno kuwakuza hawa wasaniii, hebu chukulia harmo alivyoanza alikuwa kitoto flan tu hakina mbele wala nyuma sasa harmo ana kila kitu
Ndoo maana unapata likes nying kuliko mleta mada
 
Kwa mujibu wa Mwijaku Rayvany alikuwa tayari kulipa hiyo milioni 800 tatizo ni kwamba wamempiga faini ya milioni 50 zaidi kwa kwenda kwenye shughuli ya Nandy bila kibali
Hii mikataba inaumiza sana na hatma ya digital platforms haijulikani
 
Swali ni kwa nini wanasepa? Yawezekana hao waliomo wanaishi kwa shida ila mkataba unawalazimisha waendelee kukaa ili watumikie makubaliano.
Hapana kusepa ni lazima kwa kuwa ile ni biashara kwahiyo boss atakuwa anafaiika sana.
 
Na inasemekana kawalipa hela Yao yote , tatizo kuna flow ya pesa hasa show za Maluma , wajuba wanaona watakosa pesa mingi sana wakimwachilia ndani ya miez hii mitatu wanataka wakamue ko kabisa .... Hata hvyo kondeboy alimuonya kabisa huyo dogo wakat akiwa pale airport kwamba ajiangalie Sana asijidanganye kuwa anapendwa
Rayvan ni takataka tu
 
Mm na mziki sio marafiki saaaana, naomba kujua zaidi asipopewa hiyo release letter itamzuia nini huyo Vanny Kufanya musiki wake? Yaan ndio inashikilia Sauti yake au nini hasa sijaelewa.

Kwenye mpira naelewa kuwa itamsadia kupata timu nyingine lkn kwenye mziki nataka ufafanuzi.
Ndiyo koromeo hawezi kuimba
 
Harmo yupi unayemuongelea, yule wa Kajala ama. Maana Harmo wa Kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali. Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima
Sheria Ifuate mkondo
 
Kumbe ndo maana Harmonize alichora tattoo ya Magufuli.
 
Msanii anafanya kazi miaka takribani miaka 7 hata uwezo wa kujijengea nyumba binafsi ya hadhi yake Hana

Halafu mnachukulia poa !? No wonder pale Wcb patakuwa na tatizo kweli aisee

Jamaa Wana wanyonya mnooo vijana mbona rayvany alikuwa ni mtiifu sana Kwa diamond imekuaje tena !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa madogo wanaendekeza hata Sana na hawa bongo movie hata pesa wakipewa
Wanaendekeza Tu starehe anajua kesho kuna mashiko unaingia

Maana kama n kunyonywa hyo mikataba
Wanasain gizan?au wanalazimishwa kuasain?
Alaf Kwa nnachojua mikataba kabla hujasain
Lazma uende ukausome na unapewa mdawa
Wakurudisha huo mkataba.

Alaf hawa mikataba Yao inajazwa kizungu Kwan c n hii lugha ya taifa sasa hata hii kusoma inawashinda
 
Harmo yupi unayemuongelea, yule wa Kajala ama. Maana Harmo wa Kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali. Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima
Inamana hajalipa ao unabwabwaja tu usioyajua mmakonde kalipa kila kitu wew na account zake haziguswi
 
Wewe ambaye haubwabwaji unafahamu alichopitia mmakonde mpaka akazipata accounts zake?
Inamana hajalipa ao unabwabwaja tu usioyajua mmakonde kalipa kila kitu wew na account zake haziguswi
 
Harmo yupi unayemuongelea, yule wa Kajala ama. Maana Harmo wa Kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali. Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima
Alilipa millioni 500 na mzungu wake waliuza nyumba tatu hadaiwi na mtu yeyote sema mond alitaka kumuandama kisa alikuwa na mzungu na mondi aliona wivu maana hana nyota ya vitu vyeupe ananyota na vitu vyeusi kama zuchu
 
Inasikitisha sana faini 850m? Namshauri Rayvanny afanye nyimbo zake zote kwa version nyingine kisha afungue accounts kwenye digital platforms zote naye aanze kuuza maana haki ya mtunzi ni yake Ray.
 
Back
Top Bottom