Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Kajala anakuwaje tena dada yake. Sio mama mkwe tena ๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Kuna watu wameumbuka.

Ooh Vanny boy hana kosa bla bla. Ndio mkome kuwa nyumbu na ushabiki maandazi siku nyingine mambo yaangalieni objectively.

#mnajijua.
Wa kwanza mleta mada
 
Rayvanny hanaga baya na mtu. Most talented artist kwenye kizazi hiki cha bongofleva.
Comment bora kabisa ya mwaka, tunaomba serikali ya uchumi wa kati imuwekee ulinzi huyu mtu.
 
Kuna watu wameumbuka.

Ooh Vanny boy hana kosa bla bla. Ndio mkome kuwa nyumbu na ushabiki maandazi siku nyingine mambo yaangalieni objectively.

#mnajijua.
Kisheria hana kosa, hata wewe unaweza ukakohoa njian ukatema mate, kisheria huna kosa ila kuna mwingine akakwazika so unamuomba msamaha ndo uungwana ...
 
Angewaomba radhi wazazi wote wawili wa mtoto sasa title inaonyesha kamwomba radhi mama pekee,rafiki yangu Majani si yupo au sio baba wa huyo binti?
Majani alichukulia poa kabisa , hana tabu na mkwilima, aliyevimba ndo kaombwa msamaha ndo uungwana.
 
Wa kwanza mleta mada
Sheria ipi imemhukumu kuwa anakosa? Suala lilifika mpak kwenye vyombo vya Sheria lakini vimenywea , Salama mwenyewe aling'aka na kusema walioenda kushitaka hawajui sheria ..... Vannyboy kafanya uungwana tu kijamii, ila kisheria hana kosa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo chui kawa kondoo mpaka mama mkwe anaumuita dada.
 
Angeweka na hiyo video tena ili msamaha wake unoge
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Sikuwahi kuwaza kama Vanny boi ana shabiki anayempenda kiasi japo mimi WCB nzima namkubali sana mwamba kuliko yeyote ila sijakufikia mkuu.
Kiumri ni dada ake , jina la mama tutalihalalisha soon as possible , juzi Paula kapost yupo na mama ake wanaimba wimbo wa Vannyboy mtu mbaya ...wanakula Kwa kondeboy wanalala Kwa mtu mbadi[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ