Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Rayvann huyo binti hana mzazi mmoja pekee ana Baba na Mama,sasa unavyoamua kumuomba msamaha mama Paula pekee inamaana kuhusu mimi baba yake unanipuuzia
 
Rayvann huyo Binti hana mzazi mmoja pekee ana Baba na Mama,sasa unavyoamua kumuomba msamaha Mama Paula pekee inamaana kuhusu mimi Baba yake unanipuuzia
Nakuja PM
 
Angewaomba radhi wazazi wote wawili wa mtoto sasa title inaonyesha kamwomba radhi mama pekee,rafiki yangu Majani si yupo au sio baba wa huyo binti?
Nipo rafiki yangu, naona Dogo ameamua kunipotezea kana kwamba hanitambui
 
Kwahiyo tutegemee video nyingine ambamo Majani atakua muhusika mkuu.
 
Back
Top Bottom