Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

Rayvanny , Vannboy aka chuiii ,toka label nambari moja East and Central Africa ya WCB wasafi .
Ila umemwaga sifa za maana kudadeki. Uko Vizuri, pambio la kumtoa nyoka pangoni kabisa.
 
Angewaomba radhi wazazi wote wawili wa mtoto sasa title inaonyesha kamwomba radhi mama pekee,rafiki yangu Majani si yupo au sio baba wa huyo binti?
Huyo chui anapaswa pia kumuomba radhi tembo, make tembo ndo baba mlezi wa kale kabinti.
 
Ila umemwaga sifa za maana kudadeki. Uko Vizuri, pambio la kumtoa nyoka pangoni kabisa.
Tia neno mkuu kwa hawa vijana wanaoishi nyumba za kupanga
 
Kiumri ni dada ake , jina la mama tutalihalalisha soon as possible , juzi Paula kapost yupo na mama ake wanaimba wimbo wa Vannyboy mtu mbaya ...wanakula Kwa kondeboy wanalala Kwa mtu mbadi😃
Kama kamuita dada, pia kaunda mazingira mazuri ya mbeleni eeeh 😀😀😀

Okwaaa
 
Hata Mimi naomba msamaha kwako [emoji124] Kwa kumsema vibaya vee [emoji383], penzi lako nimelimis[emoji2740]
Haya tukutane pale NMB BANK nakusubiri, uni cashie [emoji385].
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo chui kawa kondoo mpaka mama mkwe anaumuita dada.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom