Unamtetea sio, yani amekuja kutambua alikosea late hivyo, na kusingizia ujana, vijana mnasemaga ujana maji ya moto sio auMambo yashaisha kitambo , Ila watu walikuwa bado na duku duku moyoni , so kiungwana zaidi [emoji120]
I miss you sana ulikuwa wapi?Wachafu koge ujanja kwishaaaa.
Lavalava awe swala!!!Lavalava?
Ila umemwaga sifa za maana kudadeki. Uko Vizuri, pambio la kumtoa nyoka pangoni kabisa.Rayvanny , Vannboy aka chuiii ,toka label nambari moja East and Central Africa ya WCB wasafi .
Huyo chui anapaswa pia kumuomba radhi tembo, make tembo ndo baba mlezi wa kale kabinti.Angewaomba radhi wazazi wote wawili wa mtoto sasa title inaonyesha kamwomba radhi mama pekee,rafiki yangu Majani si yupo au sio baba wa huyo binti?
Niwaambie maisha ni mapambano. Hakikisha tu hupangi kijijini kwenu au ulikozaliwa.Tia neno mkuu Kwa hawa vijana wanaoishi nyumba za kupanga
π€£ π€£ π€£ π€£ sijawahi kujua huyu Lavalava anaimba nini pale Wasafi. Anawamalizia pumzi tu, na studio time. POVU RUKSALavalava Nyau.
Kama kamuita dada, pia kaunda mazingira mazuri ya mbeleni eeeh πππKiumri ni dada ake , jina la mama tutalihalalisha soon as possible , juzi Paula kapost yupo na mama ake wanaimba wimbo wa Vannyboy mtu mbaya ...wanakula Kwa kondeboy wanalala Kwa mtu mbadiπ
Haya tukutane pale NMB BANK nakusubiri, uni cashie [emoji385].Hata Mimi naomba msamaha kwako [emoji124] Kwa kumsema vibaya vee [emoji383], penzi lako nimelimis[emoji2740]
Mama mkwe. [emoji23][emoji23][emoji23]Kamuomba msamaha dada au mkwe!? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo chui kawa kondoo mpaka mama mkwe anaumuita dada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachafu koge ujanja kwishaaaa.
Ni kweli kabisaah.Huyo chui anapaswa pia kumuomba radhi tembo, make tembo ndo baba mlezi wa kale kabinti.