Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

Management ya Harmonize [emoji119] heko kwao....wamevuta attention na wameachia nyimbo nzuri sana....
 
Kwanza pole kwa kuumia,pili na rudia hatufanani hata kidogo,sijui kwako wewe labda ukiona nyeti za wanaume akili inahama ni wewe,sisi kule tukimaliza kulima na kaka zangu tunaweka nguo pembeni tuna oga (SIJUI WEWE LABDA UKIONA UCHI WA ME AKILI ZINA HAMIAGA WAPI) na ndio maana ni kwambia mimi na wewe hatufanani,tumekuzwa na mazingira tofafauti,so mimi sioni kibaya,so usi force tusifanane.

Cha msingi kuwa mpole,huku sisi tukitafuta connection,halafu hata hizo connection nilizo zipataga nyuma,hujawahi kuniombea na shangaa unavyo lishobokea dundo kuni ombea (chapuo) connection wakati wewe upendi (unafiki).

Wewe kaa kimya tuache sisi tunaopenda connection,tupewe huku tukijaribu kukaa standby kwenye magroup ya WhatsApp labda mzigo utaingia.

Nakuonea huruma kumshangaa mtu husiye mjua,we endelea kushangaa Mimi ndio nasubiria connection.

😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓

COOOOOOOOOONECTIIIIIIIIIIIIIIION.................😂😂😂
Yaap ndio nilichokua nakitaka "UELEWE" na ushaelewa hapo unakaza ubongo tu.
Una points zilezile labda tu uelewa wako ni mdogo ndio maana tumevutana kwa muda kidogo ila nashukuru umeelewa. Sasa ivi naona unatype kwa kurudia rudia maneno yaleyale bila shaka ni katika hali ya kujifariji.

Reply ijayo usihusishe maneno haya umeyaandika sana 😁😁
"Unaforce tunafanane"
Nifanane na mtu sikujui tafakari kwanza kabla ya kutype usikurupuke.
"Wewe na kaka zako kuoga pamoja"
Hii nayo hainihusu na haihusiani na kinachoongelewa hapa narudia fikiri kabla ya kutype.
"Wewe ukiona tupu za Me akili sijui zinahamia wapi"
Nimekuambia mimi akili hairuki wala haistuki lakini bado huelewi umekalili kitu kimoja sababu huna points nyingine za kutetea hoja zako.

Yoote hayo nimeyatolea ufafanuzi still huelewi bro una elimu gani 🤔🤔 mbona ni slow learner namna hiyo.
 
Unapata tabu sasa hunijui alafu unahangaika na mimi 😎😎 kisa tu nimeomba CONNECTION.

Ndio maana nikakwambia hunijui,mara uelewa wako mdogo,hizi id fake zina kudanganya yaani maneno yana kutoka kisa mimi kuomba CONNECTION.

Nina point zile sababu sioni mimi unacho kipigia kelele ndio maana nimekushangaa unavyo force tufanane,una gubu kama wake wenza wanapo kosa huduma kwa mume.

Yaani unaumia kisa CONNECTION 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,ndio mimi nazi subiria hapa ziwekwe na wajumbe na huku WhatsApp kunanzia group la mtaa niliokulia,O-level ,A-level na chuo na zi subiri.

Sasa wewe kama unaumia pole ndugu yangu,mimi sioni cha ajabu.
 
Duuh tatizo hili aisee,
Kuna wanaume wachache sana duniani.
Haya vuta subra utatumiwa ndgu yangu.
 
Management ya Harmonize [emoji119] heko kwao....wamevuta attention na wameachia nyimbo nzuri
Nop, wimbo wametoa kuonekana wana akili ila ni michezo wanayoicheza WCB kila mara inapokuwepo kiki huyu anaiga tu na utofauti kati ya kiki hii na za WCB ni kuwa ni inamdhalilisha sana na haiondoki, yeye atoe wimbo au asitoe kashfa inabaki tu.
 
It is sick to watch...

Hata kama ndio uhuni sio wa Harmonize kumtaka Paula ilihali anatoka na mama yake...

Tunajua mmeliunda hili zengwe...

Eti Harmonize atume picha ya utupu kwa Paula...

Kweli mko desperate kumchafua...

Poleni,limewauma ndio maana mmekua desperate..

You know what hili nalo litapita na Konde boy ata survive tuu...

😡😡😡😡
We ruka ruka neng'eneka hapa ila acha namba yako kwa chini hapo
Wajuba wakiipata tu tukuchafulie nawewe inbox yako whatsapp
😂😂😂😂😎
 
Nikiweka hapa ntapopolewa Mimi badala rayvany cha muhimu jamaa kabonga hakuimba ila nenda yutubu usikikize mziki unaharibiwa na kizazi cha shetani
 
Hao wenyewe wote wameshapotea ktk ramani ya muziki. Wanatembelea kiki tyuuh.
 
Back
Top Bottom