Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaap ndio nilichokua nakitaka "UELEWE" na ushaelewa hapo unakaza ubongo tu.Kwanza pole kwa kuumia,pili na rudia hatufanani hata kidogo,sijui kwako wewe labda ukiona nyeti za wanaume akili inahama ni wewe,sisi kule tukimaliza kulima na kaka zangu tunaweka nguo pembeni tuna oga (SIJUI WEWE LABDA UKIONA UCHI WA ME AKILI ZINA HAMIAGA WAPI) na ndio maana ni kwambia mimi na wewe hatufanani,tumekuzwa na mazingira tofafauti,so mimi sioni kibaya,so usi force tusifanane.
Cha msingi kuwa mpole,huku sisi tukitafuta connection,halafu hata hizo connection nilizo zipataga nyuma,hujawahi kuniombea na shangaa unavyo lishobokea dundo kuni ombea (chapuo) connection wakati wewe upendi (unafiki).
Wewe kaa kimya tuache sisi tunaopenda connection,tupewe huku tukijaribu kukaa standby kwenye magroup ya WhatsApp labda mzigo utaingia.
Nakuonea huruma kumshangaa mtu husiye mjua,we endelea kushangaa Mimi ndio nasubiria connection.
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
COOOOOOOOOONECTIIIIIIIIIIIIIIION.................😂😂😂
Unapata tabu sasa hunijui alafu unahangaika na mimi 😎😎 kisa tu nimeomba CONNECTION.Yaap ndio nilichokua nakitaka "UELEWE" na ushaelewa hapo unakaza ubongo tu.
Una points zilezile labda tu uelewa wako ni mdogo ndio maana tumevutana kwa muda kidogo ila nashukuru umeelewa. Sasa ivi naona unatype kwa kurudia rudia maneno yaleyale bila shaka ni katika hali ya kujifariji.
Reply ijayo usihusishe maneno haya umeyaandika sana 😁😁
"Unaforce tunafanane"
Nifanane na mtu sikujui tafakari kwanza kabla ya kutype usikurupuke.
"Wewe na kaka zako kuoga pamoja"
Hii nayo hainihusu na haihusiani na kinachoongelewa hapa narudia fikiri kabla ya kutype.
"Wewe ukiona tupu za Me akili sijui zinahamia wapi"
Nimekuambia mimi akili hairuki wala haistuki lakini bado huelewi umekalili kitu kimoja sababu huna points nyingine za kutetea hoja zako.
Yoote hayo nimeyatolea ufafanuzi still huelewi bro una elimu gani 🤔🤔 mbona ni slow learner namna hiyo.
Expect the unexpected...Sikuwahi kufikiri kama kuna siku Paula anaweza tikisa industry ya fame hapa bongo
Duuh tatizo hili aisee,Unapata tabu sasa hunijui alafu unahangaika na mimi 😎😎 kisa tu nimeomba CONNECTION.
Ndio maana nikakwambia hunijui,mara uelewa wako mdogo,hizi id fake zina kudanganya yaani maneno yana kutoka kisa mimi kuomba CONNECTION.
Nina point zile sababu sioni mimi unacho kipigia kelele ndio maana nimekushangaa unavyo force tufanane,una gubu kama wake wenza wanapo kosa huduma kwa mume.
Yaani unaumia kisa CONNECTION 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,ndio mimi nazi subiria hapa ziwekwe na wajumbe na huku WhatsApp kunanzia group la mtaa niliokulia,O-level ,A-level na chuo na zi subiri.
Sasa wewe kama unaumia pole ndugu yangu,mimi sioni cha ajabu.
Huo ni mtizamo wako,uzuri neno lako si sheria,si tunasubiria connection 😎😎😎.Duuh tatizo hili aisee,
Kuna wanaume wachache sana duniani.
Haya vuta subra utatumiwa ndgu yangu.
Nop, wimbo wametoa kuonekana wana akili ila ni michezo wanayoicheza WCB kila mara inapokuwepo kiki huyu anaiga tu na utofauti kati ya kiki hii na za WCB ni kuwa ni inamdhalilisha sana na haiondoki, yeye atoe wimbo au asitoe kashfa inabaki tu.Management ya Harmonize [emoji119] heko kwao....wamevuta attention na wameachia nyimbo nzuri
Yani Mimi nikishamuonaga Mwanaume mfupi sjui namweka Kwenye kundi la abnormalKwa hivi alivyo huyu bwege bila shaka si mwanaume na alishindwa kumridhisha paula sasa yule konde boy anavyozifukunyua ngoma zote mbili roho inamuuma sanaView attachment 1750401
We ruka ruka neng'eneka hapa ila acha namba yako kwa chini hapoIt is sick to watch...
Hata kama ndio uhuni sio wa Harmonize kumtaka Paula ilihali anatoka na mama yake...
Tunajua mmeliunda hili zengwe...
Eti Harmonize atume picha ya utupu kwa Paula...
Kweli mko desperate kumchafua...
Poleni,limewauma ndio maana mmekua desperate..
You know what hili nalo litapita na Konde boy ata survive tuu...
😡😡😡😡
Hebu watake watu wafupi radhi, ufupi na tabia wapi na wapi...Yani Mimi nikishamuonaga Mwanaume mfupi sjui namweka Kwenye kundi la abnormal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rayvanny anamkosea adabu ba mkwe wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wewe ni mwanaume? Wewe ni rayvanny? Au wewe una mapenzi ya dhati na rayvany, au wewe ni jinsia gani..
Mafia wazimaNikiweka hapa ntapopolewa Mimi badala rayvany cha muhimu jamaa kabonga hakuimba ila nenda yutubu usikikize mziki unaharibiwa na kizazi cha shetani
Kuna mvua balaaMafia wazima
Kina nani mkuu?Hao wenyewe wote wameshapotea ktk ramani ya muziki. Wanatembelea kiki tyuuh.
Naona maeneo mengi pwani yana mvuaKuna mvua balaa