Rayvanny atakiwa kuilipa Wasafi Milioni 50 baada ya kufanya shoo kwenye ndoa ya Bilnas

Rayvanny atakiwa kuilipa Wasafi Milioni 50 baada ya kufanya shoo kwenye ndoa ya Bilnas

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Ingawa inaseamekana Rayvan ameikacha lebo ya Wasafi lakn kuna mambo walikuwa hawajamalizana kimkataba hivyo hakupaswa kufanya show au kihudhuria tamasha au msiba wowote maana Kila tukio tajwa hapo juu lazma liwe na baraka za wasafi kukiuka Jambo moja kat ya Hilo utapigwa faini kulingana na tukio

Hivyo bwana Rayvan kabla mkataba hajavunja rasmi yeye alienda kutumbuiza kwenye ndoa ya Bilnas na Nandy

Inasemekana kuvunja mkataba na WCB na Milioni 800 ukijumlisha na faini ya juzi jumla Milini 850

Hata bwana Harmonize inasemekana alilipa Milioni 5 baada ya kihudhuria msiba wa Ruge Mutahaba bila ruksa kutoka WCB

Source: Leo Tena - Clouds FM

UPDATES

Hatimaye kijana amemalizana rasmi na WCB sasa yupo huru Kama msanii anayejitegemea baada ya kulipa mil 850 Jana

Funzo kwa vijana mkataba n kitu Cha kukiheshimu kwan uliingia mwenyewe bila kushurutishwa

Hongera RAYVAN sasa ndio utaiona rangi halisi ya mziki wa Tanzania
 
Anasemaje Rayvann mwenyewe....?
Ukute ni uzushi tu,na kama ni kweli,kwanini Rayvann akiuke makubaliano,au ni ile kutaka Diamond aonekane mbaya?
WCB ni kampuni,Diamond hatakama akitaka kumfanyia fair,ataonekana ndivyosivyo na wenzake,wajibihevu vizuri bhana.
 
Kinacho wauma dogo katoka WCB ila hajaimba mipasho au may be wame muaddress kwa ajili ya shows yao mzigo kataja mkubwa.
 
Back
Top Bottom