Rayvanny atakiwa kuilipa Wasafi Milioni 50 baada ya kufanya shoo kwenye ndoa ya Bilnas

Rayvanny atakiwa kuilipa Wasafi Milioni 50 baada ya kufanya shoo kwenye ndoa ya Bilnas

Hapa umeandika pumba tu. Mpaka Leo hi Puff Daddy anashikilia publishing rights za Mase ya nyimbo alizofanya pale Bad Boyz. Unadhani Ni rahisi tu. Hilo jina tu analolimiliki RayVanny Ni utunzi wa Diamond, ambaye alimwambia aachane na jina alilotoka nalo TipTop.

Kama hutaki huu unaouita upuuzi ukutokee pambana mwenyewe kivyako kama Marehemu Nipsey Hussle. Diamond mwenyewe kashapita njia hizo alipotakiwa kumlipa yule promote wake wa Kwanza milioni 300.
Unashoboka....
Mimi ninaongela Dr Dre na Eazy E, wewe unaleta utopolo wa Mase na Puff Daddy, na wapuuzi wengine , wapi na wapi?
Fuatilia Deathrow records na Eazy E, nini kilitokea, sio unashoboka na stori za Mase mwenyewe mlokole, undava atatoa wapi ndio na yeye atasema anamwachia Mungu amplie.....
 
Ndio maana kuna sheria. Huyo Suge knight saa hii yuko wapi ?
Yalishatokea na kutokea...
Sheria ni kwa wadhaifu lakini kwa watu wasiojali kufa, kama Blood gangs
Eazy E alitema mkataba baada ya kuona watu wako serious , hamna kuachia mungu wala stori za malipo hapahapa dunia na upuuzi mwingine , lakini wabongo bado walokole sana, hawataweza haya...
upo siyo, umeelewa?
 
Siwezi kuelewa. Hatuhitaji violence kwenye sanaa, tunachohitaji na smart contracts na kuheshimu mikataba.
 
Siwezi kuelewa. Hatuhitaji violence kwenye sanaa, tunachohitaji na smart contracts na kuheshimu mikataba.
Hakuna cha mikataba wala sanaa, ukiwa mjinga unaliwa kichwa na huu upuuzi wa mikataba ya kijinga inayowakaba wasanii chipukizi kwa njaa zao, na walikuwa hawana cha kukataa kutokana na dhiki...
Kwa nini US wanauwana kila siku na bifu za kijinga kama hizi za mtu anataka kula hela kirahisirahisi...
 
Unashoboka....
Mimi ninaongela Dr Dre na Eazy E, wewe unaleta utopolo wa Mase na Puff Daddy, na wapuuzi wengine , wapi na wapi?
Fuatilia Deathrow records na Eazy E, nini kilitokea, sio unashoboka na stori za Mase mwenyewe mlokole, undava atatoa wapi ndio na yeye atasema anamwachia Mungu amplie.....
Ushobokewe na nani wewe kocho!? Undava utakusaidia Nini wakati mkataba umesaini mwenyewe kwa njaa zako!? Unge_fight kivyako utoke.

Wewe unaangalia Dre na Eazy!!? Mase na Diddy wako kwenye industry ya uvuvi au!? Huyo Suge unayemsifia hapa baadaye yeye na Dre walimalizana vipi!? Unakumbuka au umejisahaulisha!?

Cha kumalizia, life of the crime imemuweka ndani Suge mpaka leo, huku nje Dre anapiga hela na Snoop ndio ana miliki Death Row. Crime does not pay.
 
Vipi mbona una uchawa kwa WCB hivi sio kawaida , au ni groupie wao, unaliwa kiboga na Wasafi nini, mambo yako safi mjombamjomba.....

Mimi ninaongelea Dr Dre na Eazy E wewe uchokoka na Puff Daddy na Mase inahusina nini puto?

Kwanza Deathrow records ilishakufa limebaki jina tu ndio snoop kanunua juzijuzi , eti snoop anakula hela ya Deathrow 😂😂😂

Na Suge Knight pia alikuwa hamiliki Deathrow, alikuwa msimamizi , unajua ni nani hasa alikuwa anamiliki Deathrow ? ni Mfungwa alikuwa jela na huwezi jua hili na sina muda wa kukuleta stori ndefu, na ndio kilichomfanya afilisike kwa sababu alikuwa anakula ganji tu, bila umiliki wowote.
Kwanini Dr Dre na Snoop walivyotoka Deathrow, Suge Knight hakuweza kuendelea kula hela yao? sababu kulikuwa hakuna mkataba wa kingese kama wa mabwana zako WCB,
 
chawaaaa wa WCB wotee chaliiiiiiiiiiiiii!
 
Wewe groupie uaonekana ulishagongwa na Diamond kisha ukabwagwa maana SI kwa gubu Hilo. Aisee! Stori zako unazodai ndefu baki nazo kwa faida yako au kahadithie magroupie wenzako kijiweni kuwa Suge hakuwa mmiliki wa Death Row

Hao madogo Kama hawajatoka kisheria lazima waliwe tu. Wajitoe kwa taratibu Kama walivyosaini kwa taratibu tuone Kama hela zao zitaendelea kuliwa. Otherwise watafutie silaha au wakodie watu wafanye kama alivyofanya Suge ambaye anaozea jela hivi Sasa. Eti Bloods!? Hao Bloods kwa Nini wasingekusaini wao Kisha utoboe!?
 
Ingawa inaseamekana Rayvan ameikacha lebo ya Wasafi lakn kuna mambo walikuwa hawajamalizana kimkataba hivyo hakupaswa kufanya show au kihudhuria tamasha au msiba wowote maana Kila tukio tajwa hapo juu lazma liwe na baraka za wasafi kukiuka Jambo moja kat ya Hilo utapigwa faini kulingana na tukio

Hivyo bwana Rayvan kabla mkataba hajavunja rasmi yeye alienda kutumbuiza kwenye ndoa ya Bilnas na Nandy

Inasemekana kuvunja mkataba na WCB na Milioni 800 ukijumlisha na faini ya juzi jumla Milini 850

Hata bwana Harmonize inasemekana alilipa Milioni 5 baada ya kihudhuria msiba wa Ruge Mutahaba bila ruksa kutoka WCB

Source: Leo Tena - Clouds FM

UPDATES

Hatimaye kijana amemalizana rasmi na WCB sasa yupo huru Kama msanii anayejitegemea baada ya kulipa mil 850 Jana

Funzo kwa vijana mkataba n kitu Cha kukiheshimu kwan uliingia mwenyewe bila kushurutishwa

Hongera RAYVAN sasa ndio utaiona rangi halisi ya mziki wa Tanzania
Kama amelipwa hela ya kujikimu atamlipaje domo,domo naye aache hizo asijefanye yeye ndie Mungu wa tasnia ya muziki yaleyale aliyoyapinga kufanyiwa na Clouds nae anawafanyie wenzake, ikumbukwe bila hao watumwa wake nae hawezi fanya lolote.
 
Hii ni picha ya Juni 2016. Hapa unadhani Ni mamilioni mangapi hayo? Kama miaka 6 imepita, unafikiri kwa Sasa atakuwa na pesa kiasi gani!? Awalipe tu wcb, kila mtu akaendelee na Hussle zake
Yuko vizuri Mungu amsaidie nae atoboe!
 
Back
Top Bottom