Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Unashoboka....Hapa umeandika pumba tu. Mpaka Leo hi Puff Daddy anashikilia publishing rights za Mase ya nyimbo alizofanya pale Bad Boyz. Unadhani Ni rahisi tu. Hilo jina tu analolimiliki RayVanny Ni utunzi wa Diamond, ambaye alimwambia aachane na jina alilotoka nalo TipTop.
Kama hutaki huu unaouita upuuzi ukutokee pambana mwenyewe kivyako kama Marehemu Nipsey Hussle. Diamond mwenyewe kashapita njia hizo alipotakiwa kumlipa yule promote wake wa Kwanza milioni 300.
Mimi ninaongela Dr Dre na Eazy E, wewe unaleta utopolo wa Mase na Puff Daddy, na wapuuzi wengine , wapi na wapi?
Fuatilia Deathrow records na Eazy E, nini kilitokea, sio unashoboka na stori za Mase mwenyewe mlokole, undava atatoa wapi ndio na yeye atasema anamwachia Mungu amplie.....