Rayvanny atakiwa kuilipa Wasafi Milioni 50 baada ya kufanya shoo kwenye ndoa ya Bilnas

Rayvanny atakiwa kuilipa Wasafi Milioni 50 baada ya kufanya shoo kwenye ndoa ya Bilnas

Screenshot_2022-08-02-19-28-36-178_com.instagram.android.jpg


Kijana anajitaidi kufurukuta lakini wahuni wanaye tuu 😊😊 WCB ni mabepari haswaa
 
Asitaftie watu lawama suala la mkataba lipo kisheria zaidi.
kumbuka "ingnorance of the law is not an excuse"
Watu wanasahau maana ya mkataba, it is binding by the law, Rayvann nadhani anaelewa hili kabisa maana kakaa pale muda mrefu, mengine ni kumtafutia tu Diamond lawama zisizo na msingi.

Ukishaingia mkataba ni wajibu wako kuzisimamia, kuziheshimu na kuzifuata terms na standards zilizomo humo ndani
 
ndo mambo ya mikataba na kibaya zaidi tunasikia tu hakuna alieona mkataba halisi kati ya vann na wcb kwahiyo kama kakiuka basi alipe ndo mambo yanavyoenda
 
Wapo sahihi.Haya mambo hayafanyiki kienyeji kama zamani mambo yamebadilika.Hii ni biashara na watu wamewekeza pesa zao katika mziki.Unapokiuka makubaliano unawasababishia hasara pia watajuaje kama umepiga pesa kimya kimya baada ya show?
 
Kuna umuhimu wasanii wanapoingia kwenye label wawe na wanasheria wao, usije ukaingia mkenge
 
Hiyo ni kiki tu ya ku ibrand wcb.. Diamond mwenyewe hamiliki hata milioni 40 kwenye akaunti yake...
duh kwa matangazo alio nayo malipo ya platform za miziki shows kweli m40 akose [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusiwe watu wa kuweka hisia kali kwenye mambo yanayoonekana.
 
Kwanini anafanya ujinga wakati anajua kuna suala la mkataba? hii ndio shida ya bange za jua kali
 
Hiyo ni kiki tu ya ku ibrand wcb.. Diamond mwenyewe hamiliki hata milioni 40 kwenye akaunti yake...
Ngoja aisome namba, watu wahuni wasio heshimu makubaliano ni kuwachapa faini tuuu
 
Basi huku kwetu hatujafikia yale maisha ya kindava haswa, lakini sio muda mrefu yatakuja...
Hii inanikumbusha wakatiwa NWA miaka yangu ya 90s kupenda Rap Music, Sikuhizi ni upuuzi mtupu
Illkuwa Dr Dre anataka kutoka Ruthless Records ya Eazy E, akajikuta yuko kwenye mkataba ambapo kila nyimbo atakayotoa Eazy E atakula dolari ndefu kwa asilimia kutokana na mkataba.
Dr Dre akaona isiwe shida, akamfuata Suge Knight na kumwambia anataka waanzisha lebo yao, ndio iliyokuja kujulikana kama DeathRow Records, na kumwambia kuna ishu ya yeye na mkataba wa Eazy E, hapo Suge Knight akamwambia Dr Dre usikonde mimi nitamaliza tatizo lako,
Siku kadhaa zilizofata alimfata Eazy E akiwa na baadhi ya wajeda wa kikundi cha undava kinachojulikana kama "Bloods" huku wakiwa na Automat Kalashnikov za kutosha, na kumwambia Eazy E aufute mkataba wake na Dr Dre, na hapo ndio ukawa mwisho na mambo ya kpuuzi kama haya, lakini Bongo nysoso, ooohh sijui utasika Mungu atawalipa, huu upuuzi hautambuliki US wala nchi yeyeto hata South nina uhakika
Hajatokea mtu mwenye akili ya kutukuogopa kufa, na kumaliza huu upuuzi wa WCB

Huyo mwenye shati jekundu ndie Suge Knight enzi zake...
1659483358715.png
 
Back
Top Bottom