Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

Uzuri wa internet haisahau. Ukikuwa utakuja kujishangaa sana kwa jinsi kwa akili hii.

Mi.i sikushangai maana uata mimi nilipitia hali hii.

Nakumbuka kuna kipindi niliwahi mpaka ku-skip lectures, nikarnda kushinda computer room kumpigia kura Diamond, MTV awards.

Wakati huo kakosana na mademu zake wote kina Wema, Jokate, Wolper. Wakati huo hata Tuzo za Kili alikuwa anaziona za moto, mpaka akajifanya hazitaki🤣

Humu JF mambo yalikuwa moto. Hapa Nifah, kule Matola ( wote hao sasa hivi huwezi kuwakuta wanabishana huu upuuzi )

Kwahiyo mimi nawashauri, kuweni na SUBIRA mkue kwanza.

Itafik stage tu mtakuwa na fikra huru kabisa.
Watoto hawa balehe zinawasumbua
 
Record label sio studio hiyo ni kampuni ya kupromote na kuuza muziki.

Rayvanny kitambo tu ana studio ya audio na ana kampuni ya film production inaitwa extra focus.

Lebo ni zaidi ya hivyo vitu maana inapeleka end product kwa mteja.
Ukikua utaacha
 
Haters wanapambana kwel kwel , msisahau jaman , kifutu kaongeza utopolo mwingine stoo....😃😃
 
Uzuri wa internet haisahau. Ukikuwa utakuja kujishangaa sana kwa jinsi kwa akili hii.

Mi.i sikushangai maana uata mimi nilipitia hali hii.

Nakumbuka kuna kipindi niliwahi mpaka ku-skip lectures, nikarnda kushinda computer room kumpigia kura Diamond, MTV awards.

Wakati huo kakosana na mademu zake wote kina Wema, Jokate, Wolper. Wakati huo hata Tuzo za Kili alikuwa anaziona za moto, mpaka akajifanya hazitaki🤣

Humu JF mambo yalikuwa moto. Hapa Nifah, kule Matola ( wote hao sasa hivi huwezi kuwakuta wanabishana huu upuuzi )

Kwahiyo mimi nawashauri, kuweni na SUBIRA mkue kwanza.

Itafik stage tu mtakuwa na fikra huru kabisa.
Issue sio kumsifia Rayvanny au kumponda hapa tuna deal na hoja zenye mashiko nimekufuatilia Mara nyingi nimegundua unapenda kusikia unachopenda wewe kwahiyo mtu akienda tofauti na unachopenda wewe unawaza Kama ulichoandika kwenye comment yako.
 
Una matatizo ya ubongo, Pesa anazihifadhia Kwa Baba ako? Tafuta hela ya Kula mihogo
Hiki kizazi cha mwaka 95-2,000 ni takataka kabisaa.

Hivi Kwanini msiwe mashabiki tu. Kwani lazima kum-idolize mtu kwa kiwango hiki ??😔😔😔
 
Naona watoto wa mjengoni na Ant-WCB wanapinga mixer kutakana.

Hongera Rayvany ,kilichobakia ni kujituma na kuwa mbunifu.
 
Hao ni wehu....Hakuna nyimbo ya WCB inayopigwa CMG, East Africa TV& Radio, Capital Radio & TV na ITV& Radio One.... Katika Mazingira haya WCB ipo juuu, regards wasanii wengine nyimbo zao zinachezwa vituo hvyo vyote ...na bado misukule wanawaombea WCB mabaya , ..... Jitu linakuja na akili yake timamu limeshiba michembe et Vannyboy Hana helaaa ya Kuwa na hyo label😋

Anajua hyo label ameipigania Kwa mda gan ,? Hata kama Mond kampiga tafu sehemu still label inamilikiwa na Rayvanny , kinachowauma ni kuwa label pia itakuwa supported na WCB CSE hakuna enemity Kati Yao..

Ogopa Sana kukaa na maskini chumba kimoja
 
Pia wanasema hana hela ya kutoka WCB, kwao ili wamuone ana pesa ya kufanya chochote ni lazima atoke WCB. Sasa hapo unaona kabisa swala sio uwezo wa kifedha wa Rayvanny ni kwamba wao wanataka atoke tu alipokuwepo ili wafurahi. Kama Jay Z hadi leo ni partner wa universal music ambao ni wakubwa kuliko yeye(na mifano mingine lukuki) sielewi hii mentality ya kibongo kuwa ukiwa mkubwa ni lazima utoke kwenye lebo yako ya zamani inatoka wapi.

Wabongo wanachukulia muziki kama kukaa na baba na mama wakati ni vitu viwili tofauti, no wonder wanamsinga zuchu anabebwa na lebo wakati yupo pale ili lebo imbebe afike anapopataka.
 
Hao ni wehu....Hakuna nyimbo ya WCB inayopigwa CMG, East Africa TV& Radio, Capital Radio & TV na ITV& Radio One.... Katika Mazingira haya WCB ipo juuu, regards wasanii wengine nyimbo zao zinachezwa vituo hvyo vyote ...na bado misukule wanawaombea WCB mabaya , ..... Jitu linakuja na akili yake timamu limeshiba michembe et Vannyboy Hana helaaa ya Kuwa na hyo label😋

Anajua hyo label ameipigania Kwa mda gan ,? Hata kama Mond kampiga tafu sehemu still label inamilikiwa na Rayvanny , kinachowauma ni kuwa label pia itakuwa supported na WCB CSE hakuna enemity Kati Yao..

Ogopa Sana kukaa na maskini chumba kimoja
Wanatiaga ugumu projects nyingi za WCB,alafu baadaye zinafanikiwa mwisho wa siku wababaki kuchukia.
 
Nakumbuka kuna kipindi niliwahi mpaka ku-skip lectures, nikarnda kushinda computer room kumpigia kura Diamond, MTV awards.
Utoto huu wakijinga uliufanya pekeyako hakuna aliyefanya huu ujinga.
 
Back
Top Bottom