Mbona Kama vile umeumia hiviLevel nowadays imekuwa kama kwenda chooni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kama vile umeumia hiviLevel nowadays imekuwa kama kwenda chooni tu
upp sahihi...haitaji uwe na degree kutambua hilo.Hiyo itakuwa kampuni tanzu (subsidiary) ya WCB.
Panua niingize vizuri hujaumia tu?Mbona Kama vile umeumia hivi
Acha Ushabiki Maandazi, ibraah Anaimba, Msikilize..Ibraah pale kuna msanii au muombolezaji
Huwa namsikiliza Sana , Ila nilipogundua ni muombolezaji mzur, kila wimbo ni kulia Lia , nikaachana naeAcha Ushabiki Maandazi, ibraah Anaimba, Msikilize..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ibraah pale kuna msanii au muombolezaji
aisee hawa madogo wana ela, popote walipo nawambia Assalaamu AleikumHatimaye yametimia. Yaliahidiwa na sasa yametimizwa.
NEXT LEVEL MUSIC kiwanda kipya town kinachotegemewa kusign wasanii wapya hivi karibuni chini ya CEO Rayvann. Je, kitaleta chachu na mapinduzi ya kimziki tofauti na lebo nyingine za muziki zifanyavyo katika nyanja hii pendwa ya burudani nchini?
Akili za kimaskini hziSio label yake rayvanny hana hela hiyo..anatumika tu
Mbona kama logo wameikopi somewhereVannyboy mtu mbaya , hajawah niangusha , namkubali Sana mtu wangu wa nguvu ..... chata la kibabe ,music mzur .....
Tunaheshimu waliotushika mkono na bila kunyea kambi tunamshukru Mwenyezi Mungu
View attachment 1720490
View attachment 1720494
Mimi sioni jipya. Kama ni studio hlnaona asilimia kubwa ya wasanii wana studio zao nyumbani.Mkaruka njoo huku uone vitu vikubwa vinavyofanywa na mtu mzima Rayvanny hii Ni hatua kubwa Sana.