Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila msanii akitoka anaanzisha lebbelMsanii wa Bongo flavor kutoka lebo ya Wasafi Rayvanny maarufu Vanny boy ametangaza jina la lebo yake ambayo ameipa jina NEXT LEVEL MUSIC.
Rayvanny sasa anakuwa msanii wa kwanza Tanzania kuwa na lebo yake ikiwa bado yupo chini ya lebo nyingine. (Wasafi)
Yeah ila NI LABEL SAWA DOGOHiyo itakuwa kampuni tanzu (subsidiary) ya WCB.
Acha kukaza fuvu[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa sasa patamu, tuone nae uwezo wake halisi nje ya system.
Wahuni wanamiliki mikwanja zaidi ya baba yako.We soma kwanza achana na mambo ya wahuni
Mwanafunzi n mwanafunzi tu,bado una idea ya baba? Basi sawa ngoja nimkumbushe mshua akutumie hela ya kununua kalamuWahuni wanamiliki mikwanja zaidi ya baba yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanafunzi n mwanafunzi tu,bado una idea ya baba? Basi sawa ngoja nimkumbushe mshua akutumie hela ya kununua kalamu
Sasa kwani hujui ni mtu m1 huyo?Mpaka aje Innocent ndio nita amini au Kigoma Independent
Tunataka hapa aoneshe uwezo wake halisi, tena ameanza kwa label kabisaah, patamu mnooh.
Acha kukaza fuvu weweTunataka hapa aoneshe uwezo wake halisi, tena ameanza kwa label kabisaah, patamu mnooh.