Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

Mimi sioni jipya. Kama ni studio hlnaona asilimia kubwa ya wasanii wana studio zao nyumbani.

Mpaka Nuhu Mziwanda ana studio.

Ingawa kwenye maisha hakuna mipaka, siyo vibaya kujaribu.

Ila Wasafi walitakiwa kumpa UHURU Rayvanny ajaribu kuweka asilimia 100 kwenye hilo lengo lake jipya.

Hiki anachokifanya sasa hivi ni HOFU na UWOGA.

Ni sawa na shoga anaeliwa, halafu na yeye anajifanya kuoa. Siku akiwa na ratiba ya kuliwa, ratiba kwa mke wake zinavurugika.

Au ndio kujiajiri wakati umeajiriwa ???

Anyway ndio maisha hayo, anaepusha shari anayoiona mbele yake Kwasababu ya roho mbaya na fitna za waswahili.
Dah! Una wivu ile mbaya aisee
 
Wazee wa kukaza fuvu la kichwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Labda awe amenunua hisa more than 50%, ila kwa tunaofuatilia Music hapa bongo Next Level ni kampuni ya Adam Juma
Mbona huweleweki unasimamia nini

Mada inahusu Next Level Music na ni kampuni mpya hemu elezea hiyo Next Level unayoisema ueleweke...

1)Unamaanisha NLM mmiliki huyo Adam
2)Au umechanganya majina
 
Next level ni ya Adam Juma,
Wapi nimechanganya wakati nimekwambia next level ni ya Adam Juma, labda vinginevyo
 
Vanny boy anaweza paa na brand yake kuliko hamonize. Kitu nachomkubali vanny ni ile identity yake.
Sipendi hamo anapo copy na ku paste kila kitu. Mara a copy mondi, mara kiingereza cha wa naija..hii kitu siungi mkono. Ingawa natambua ana talent.
mkuu dunia ya leo hata hatuangalii anacopy au anatunga mwenyew ,swal ni je anaingiza mpunga??,kama ni ndio bas haina shida
 
Next level ni ya Adam Juma,
Wapi nimechanganya wakati nimekwambia next level ni ya Adam Juma, labda vinginevyo
Sawa Next Level ya Adam na Hawa pia ukiwemo wewe.

Sisi tunazungumzia
NEXT LEVEL MUSIC
 
Mimi sioni jipya. Kama ni studio hlnaona asilimia kubwa ya wasanii wana studio zao nyumbani.

Mpaka Nuhu Mziwanda ana studio.

Ingawa kwenye maisha hakuna mipaka, siyo vibaya kujaribu.

Ila Wasafi walitakiwa kumpa UHURU Rayvanny ajaribu kuweka asilimia 100 kwenye hilo lengo lake jipya.

Hiki anachokifanya sasa hivi ni HOFU na UWOGA.

Ni sawa na shoga anaeliwa, halafu na yeye anajifanya kuoa. Siku akiwa na ratiba ya kuliwa, ratiba kwa mke wake zinavurugika.

Au ndio kujiajiri wakati umeajiriwa ???

Anyway ndio maisha hayo, anaepusha shari anayoiona mbele yake Kwasababu ya roho mbaya na fitna za waswahili.
Record label sio studio hiyo ni kampuni ya kupromote na kuuza muziki.

Rayvanny kitambo tu ana studio ya audio na ana kampuni ya film production inaitwa extra focus.

Lebo ni zaidi ya hivyo vitu maana inapeleka end product kwa mteja.
 
Mti unaoota juu ya mti mwengine huwa ni tawi. Inawezekanaje NLM iwe ndani ya WCB na bado iwe ni nembo huru.
 
Young Money ipo ndani ya Cash money, Ovvo ipo ndani ya Young money.

G Unit ilikuwa ndani aftermath, shady ilikuwa ndani aftermath.

Kanye West ana label yake akiwa ni msanii aliyekwenye label ya Jay Z.

Tatizo mashabiki maandazi exposure ya biashara ya muziki inawasumbua.
Muziki sio mambo yenu ya CCM na Chadema au Simba na Yanga.
 
Hii ni tz mkuungwa, kwanza nashukuru kwa kunifahamisha hayo sikuwa nayajua kabla. Maono yangu haitojitawala akiwa bado yuko chini ya mabosi wa WCB
 
ubia katika biashara ni jambo la kawaida, hata harmo haimiliki konde gang kwa 100%, ninachokiona hapa watu wanajudge coz wabia wa NLM ni wcb.
 
Dah! Una wivu ile mbaya aisee
Uzuri wa internet haisahau. Ukikuwa utakuja kujishangaa sana kwa jinsi kwa akili hii.

Mi.i sikushangai maana uata mimi nilipitia hali hii.

Nakumbuka kuna kipindi niliwahi mpaka ku-skip lectures, nikarnda kushinda computer room kumpigia kura Diamond, MTV awards.

Wakati huo kakosana na mademu zake wote kina Wema, Jokate, Wolper. Wakati huo hata Tuzo za Kili alikuwa anaziona za moto, mpaka akajifanya hazitaki🤣

Humu JF mambo yalikuwa moto. Hapa Nifah, kule Matola ( wote hao sasa hivi huwezi kuwakuta wanabishana huu upuuzi )

Kwahiyo mimi nawashauri, kuweni na SUBIRA mkue kwanza.

Itafik stage tu mtakuwa na fikra huru kabisa.
 
Back
Top Bottom