Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Ali Kiba anazeeka bila tuzo za maana, alibebwa Kili na ikajifia moja kwa moja.
We mpuuzi hapa kiba anaingiaje, acha chuki za kijinga na uwe unafuatilia habari ndo utajua kama kiba aliishia kwenye kili au aliendelea.....sasa endeleza huu ungese uone ninavyokukeshea..... Congrats to rayvanny! Team Tanzania
 
daah! huyu dogo nime mkubali kishenzi yaan hii tuzo si mchezo. kwa kuwa Wanyama kapewa mtaa
dogo tumpe hata barabara ya Mawasiliano ile iwe Rayvanny road
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaha gwa kukaja amb'ombile imbombo nunu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…