Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ooooh kumbeeeh.
Na sa hv tumeamua kupitia Kwa Mobeto ili kuzima hili swala, tuendelee na mikakati mingine ya kikazi zaidi.....kuhusu Harusi ya Vany boy na Paula ipo pale pale
 
Na sa hv tumeamua kupitia Kwa Mobeto ili kuzima hili swala, tuendelee na mikakati mingine ya kikazi zaidi.....kuhusu Harusi ya Vany boy na Paula ipo pale pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuona M/kiti wa kamati ya harusi, hutaki kuwaangusha wadau.
 
Mt

Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabovu huu ni mwendelezo alichrithi kutoka kwa wazazi, tabia zile zile, mama anatembea Zanzibar na vijana wadg unatarajia nini kwa mtt. Mama mtu hawezi kukwepa lawama kwani hana tabia nzuri kwa jamii,anabadilisha wanaume kama anavyotaka halafu anadai anampa malezi mazuri anavytaka, haoni mtt anarithi tabia yake.
 
Kumlewesha mwanafunzi sweet 16 na kumnyandua na kumrekodi.
We umejuaje amemlewesha wakati video haioneshi Paula amelewa zaidi ya kuonesha amezimika kwa mchizi huku akimkiss mwamba na akitoa tabasamu la Aina yake.Kingine Cha kukusaidia hakuna video yoyote ikionesha wananyanduana Kama unayo nakupa hapa buku 10
 
We umejuaje amemlewesha wakati video haioneshi Paula amelewa zaidi ya kuonesha amezimika kwa mchizi huku akimkiss mwamba na akitoa tabasamu la Aina yake.Kingine Cha kukusaidia hakuna video yoyote ikionesha wananyanduana Kama unayo nakupa hapa buku 10
King Kong III anazingua tuu , Ila anajua mtubadi kafanya kweli
 
Hakuna namna unaweza kufanya parachichi likatoka kwenye mwembe.

In parenting! Mtoto huiga SANA unacho Fanya ila hupuuza zaidi unacho mwelekeza
 
Mmakonde alitumia zaidi ya miezi mitatu kutengeneza kiki ya kutoka na mama P yaani kajala ili avume kisha RayVanny akatumia sekunde zake 30 tu kuizima kabisa kiki hiyo na kuifukilia mbali kabisa.

NAANZA KUCHAMBUA
Paula wa Kajala sio mtoto mdogo kama mnavyoaminishwa huyu bintu ana miaka 18 yaani anaitafuta miaka 19 mwaka huu, hana utoto wowote, leo hii akivunja sheria za nchi hata kwa kutembea na rambo zilizopigwa marufuku basi anawekwa nyuma ya nondo, Sio mtoto tena huyu.

Kuhusu sheria za nchi ikumbukwe kuwa Paula alimaliza form four kwa mara ya kwanza mwaka 2018 na akajipatia Zero (0) yake moja safi tu jambo lililomlazimu KURISITI ili aendelee na masomo.

Ni hapa kwenye KURISITI sasa ndio panamnyima kajala haki ya kumfunga RayVanny kwani mwanaye yupo nje ya mfumo rasmi wa elimu yaani kapitia njia za panya anakuwa hana tofauti na mwanafunzi wa memkwa (N.B adi mzee wa miaka 40 anaweza kurisiti ata awe na watoto nane )

SASA Ukichukuwa umri wa Paula ukajumlisha na mfumo wa elimu anayoisoma kama mtu aliyerisiti unaishia kumcheka tu mmakonde aliyeshupalia kwenda adi polisi ili amfunge RayVanny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…