joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
P Funk hata haja changanyikiwa na ndio maana hata polisi hajaenda,kamwachia mama,paula na baba wa kufikia Kondeboy wahangaike na kesi.Pfunk amechanganyikiwa yanii yule kwa nje ya nchi nae Mondi anamkata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana aisee hili ni pigooo kugongewaa mke mpaka watoto.... na hawawaoii
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kaamua kukaa pembeni haya yaliyo tokea leo aliya ongea kipindi cha nyuma,kaamua kukaa pembeni.
Yule wa nje P Funk alidai ni biashara aliongea mwenyewe hamna huusiano wowote na Mondi.