Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Mjerumani mjerumaniiiii

IMG_20210218_114110.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team zipo kazini, zinavuruga familia ya mtu na mamaye.
Pfunk amechanganyikiwa yanii yule kwa nje ya nchi nae Mondi anamkata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana aisee hili ni pigooo kugongewaa mke mpaka watoto.... na hawawaoii

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Sallam sk ni kiboko yake, anamfahamu, hapendag masinichi yule mwamba. Angekuwa rafk yng nahis tungeivana sanaaaaa, hata mm sipendag masinichi ata kidg 🤣🤣🤣🤣
Snitch sio mtu.. maana anauma na kupuliza. Kama Huyo Harmo mavi, anaenda polisi anasaga kunguni ili jamaa awekwe ndani, alafu kanatoka hapo kanaenda kweye media kujiosha, mtu wa hivyo hafai hata kidogo
 
Mjinga sana huyu mwamba, yani baba mzazi katulia, wewe unaenda kama nani??? Majitu mengine bana😆
 
Back
Top Bottom