Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Harmonize ndiyo "panya"? DNA kafanya mara mbili matokeo mtoto siyo wake lkn bado anamg'ang'ania mtoto, tena wa kike?
Sjui ana matatizo gani , huyo mwamba ana dalili zote atakuwa mlozi Sana..... Technique zake atakuja kuwa mtu wa stress Sana .... Mwanaume anapost yupo na demu wake wanafurahi wanaenjoy ye anaanza shobo ,.... Unakimbilia central unaulizwa anasoma shule gani unaanza kucheka cheka , yanakushinda unakimbilia kwenye media ..... Ngoja allowance ya mama zuu iishe....
 
Hajafanya kosa, yule mtoto ana miaka 18+, pia alifeli form 4, hata kama ame resit mtihani Bado hayuko kwenye mfumo maalum wa elimu wa serikali
Paulaa anakalia msumarii wa wasafi mama yake anakal8a wa Konde gang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Battle ngumu sana hii... Itafika muda paula ataondoka nyumbani kwensa WCB.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Tutaelewana Tu , ngoja kwanza...mjeruman manager wa kondeboy kang'aka baada ya Sallam kumuita harmonize Panya
 
Huyo manager anakataa kuwa kijana wake sio Panya 😀😀😀.. kapanya nchanga kale hata akatae..
IMG_20210218_111541.jpg

Bifu imefikia patamu 😀😀😀😀
 
Paulaa anakalia msumarii wa wasafi mama yake anakal8a wa Konde gang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Battle ngumu sana hii... Itafika muda paula ataondoka nyumbani kwensa WCB.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team zipo kazini, zinavuruga familia ya mtu na mamaye.
 
Wewe imeandikwa mkubwa atamtumikia mdogo 😀😀
 
Back
Top Bottom