missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Yupo mtu ataumia..tusubiri tuone lol[emoji3][emoji3][emoji3] sarakasi zao zina mwisho. Wanatunishiana misuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mtu ataumia..tusubiri tuone lol[emoji3][emoji3][emoji3] sarakasi zao zina mwisho. Wanatunishiana misuri
Sjui ana matatizo gani , huyo mwamba ana dalili zote atakuwa mlozi Sana..... Technique zake atakuja kuwa mtu wa stress Sana .... Mwanaume anapost yupo na demu wake wanafurahi wanaenjoy ye anaanza shobo ,.... Unakimbilia central unaulizwa anasoma shule gani unaanza kucheka cheka , yanakushinda unakimbilia kwenye media ..... Ngoja allowance ya mama zuu iishe....Harmonize ndiyo "panya"? DNA kafanya mara mbili matokeo mtoto siyo wake lkn bado anamg'ang'ania mtoto, tena wa kike?
Aseee hata kama n mm na ustaa wote ule kajala a naanzaje kuomba msamaha mbele ya Misa hyo aibu ataiweka wapi,Masaa 12 yamepita kajala hajaomba msamaha kwa hamisa..atakuwa amejipanga huyu mama mtu
Hajafanya kosa, yule mtoto ana miaka 18+, pia alifeli form 4, hata kama ame resit mtihani Bado hayuko kwenye mfumo maalum wa elimu wa serikaliVanny kafanya kosa hajafanya.anzia hapo.
Paulaa anakalia msumarii wa wasafi mama yake anakal8a wa Konde gang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Battle ngumu sana hii... Itafika muda paula ataondoka nyumbani kwensa WCB.Hajafanya kosa, yule mtoto ana miaka 18+, pia alifeli form 4, hata kama ame resit mtihani Bado hayuko kwenye mfumo maalum wa elimu wa serikali
Tutaelewana Tu , ngoja kwanza...mjeruman manager wa kondeboy kang'aka baada ya Sallam kumuita harmonize PanyaPaulaa anakalia msumarii wa wasafi mama yake anakal8a wa Konde gang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Battle ngumu sana hii... Itafika muda paula ataondoka nyumbani kwensa WCB.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sheria ya maudhui ya mitandaoni nayo inasemaje.Hajafanya kosa, yule mtoto ana miaka 18+, pia alifeli form 4, hata kama ame resit mtihani Bado hayuko kwenye mfumo maalum wa elimu wa serikali
Huyo manager anakataa kuwa kijana wake sio Panya 😀😀😀.. kapanya nchanga kale hata akatae..Tutaelewana Tu , ngoja kwanza...mjeruman manager wa kondeboy kang'aka baada ya Sallam kumuita harmonize Panya
😀😀😀😀😀 atajua hajui.. hapo Simba anatunga sheria .. huyu atapigwa fitina hadi ajue hajuiView attachment 1705305
Bifu imefikia patamu 😀😀😀😀
Usema kweli Panya 1000 a.k.a Harmo mavi, amezingua sana kwa usnitch aliofanya, wengi wame mshangaa sana... hata kama VanBoy angekuwa na makosa bado hakupaswa kusaga kunguni vile, alitakiwa aachie mamlaka kufanya kazi
Mmmmmh kumbe sallam nae ana mipasho hivi, khaaaa lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawez fanya chchte huyo mobetto.Masaa 12 yamepita kajala hajaomba msamaha kwa hamisa..atakuwa amejipanga huyu mama mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team zipo kazini, zinavuruga familia ya mtu na mamaye.Paulaa anakalia msumarii wa wasafi mama yake anakal8a wa Konde gang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Battle ngumu sana hii... Itafika muda paula ataondoka nyumbani kwensa WCB.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
Aseeeeeeh mambo ni motooooh lolView attachment 1705305
Bifu imefikia patamu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]