Vanny kafanya kosa hajafanya.anzia hapo.Mmakonde mshamba Sana ana chuki za kijinga, anashabikia vanny afungwe ili yeye apate nn
OK mambo ya kajala wewe yanakuhusu nini?Me binafsi kuniuzi anajifanya ana uchungu kuliko pfunk mwenyewe watu wanafiki Kama hawa Ni wakupigwa chaba badala ya kufocus na mziki wake anaingilia issue ambazo hazimuhusu
Huyo binti mtu mzima,miaka ya 2002 alikua ameshazaliwa,ukipita hapo kwa majani unamkuta kabebwa na mama yake...kajala alikua kisu hatariSwala si kuwa mwanafunzi tu: katika hili kunaibua makosa kadhaa ambayo yatamkabiri VnBoy.
Tuanze na kosa la kubaka. Kubaka ni pale uume unapogusa uke iwe umeingia au kujaribu kuingia katika uke bila idhini ya mwanamke. Hapa haijalishi awe mwanafunzi au lah. Swala je aliridhia? Pia sheria inasema akiwa chini ya miaka 18 au awe mwanafunzi hata kama aliridhia ni kosa. Sheria inamtaka mkubwa kumlinda binti alie chini ya umri u mwanafunzi. Hivyo ni kosa la jinai kufanya tendo la ngono na mwanafunzi au chini ya umri (18) hata kama msichana akiwa ameridhia.
Inasemekana huyu binti alinyweshwa pombe. Hivyo pombe imetumika kumrubuni si hiari yake hapa kuna kosa. Kwanini anyweshwe pombe. (Rvny) aweza shitakiwa kwa hili. Pili, Vanboy kuweka picha ya mahaba katika jamii au public. Je huyu mdada aliridhia? Binti anaweza lalamika kadhalilishwa mambo ya usiri kuwekwa hadharani. (Udhalilishaji kijinsia).
Tatu; Watu wanataja umri kwa hisia kuwa kamaliza shule. Wakidhani atakuwa na umri mkubwa. Kitu cha kuthibitisha umri kimahakama ni cheti cha kuzaliwa. Na watoto wengi siku hzi wanamaliza kidato cha nne wakiwa na umri mdogo tu. wengi wanaingia chuo ndo wanatimiza miaka 18. Mfano mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne akiwa na miaka 15.
Hivyo hili litathibithishwa na cheti. Mwisho watanzania tunashabikia maovu. Ingekuwa Ulaya au Marekani alichofanya Vanboy ni kosa kubwa angejutia. Sasa watu wanamwona Konde alichoandika kuwa anamchongea Vanboy.
Ebu tuvae taswira ya umama au ubaba mtoto wako ndo angekuwa kafanyiwa hivyo ungeshangilia?
Swala la kumbaka yule binti hapa alikwepeki awe anasoma au asomi. Nakatika sheria ya kubaka mwanamke au binti aloathirika ndo usikilizwa zaidi, kwa kuangalia mazingira husika. Si lazima mbegu no. Ni ushahidi wa kimazingira. Ninyi mteteeni tu Vanboy lakini aombe Mungu. Hii ni kesi itakayo mwalibia future yake.
Huyo kachoka hana mshiko mpka kaingia bongo movie kama kajala....tunda sawa na mti wakeRayvanny ni wa kifungwa tu hakuna namna labda MAJANI apotezee.
Mwamba inakuuma Sana, fresh lakni .... Subir Paula afikishe miaka 40 ndo utampata kama konde boy alivyosubir kwa kajala , Acha Kwanza mtot mzur soap soap aendelee kulamba koni ya mtu mbaya vanny boyWCB wanasemaje ? Kitendo cha kunyamaza kwao kunaashiria wanakubaliana na Rayvanny na wako tayari kumlinda.
Kitendo cja salam kupromote nyimbo ya Rayvanny ni kuonyesha WCB kumkubali mdhalilishaji, fuska anaefanya mapenzi na wasichana wa umri mdogo.
Ni wakati wa WCB kutoa kauli kumuunfa mkono au kumkana Rayvanny na vitendo vyake vya kifuska na kiudhalilishaji kwa makusudi mtandaoni.
Mwamba inakuuma Sana, fresh lakni .... Subir Paula afikishe miaka 40 ndo utampata kama konde boy alivyosubir kwa kajala , Acha Kwanza mtot mzur soap soap aendelee kulamba koni ya mtu mbaya vanny boy
Yaan wee lol, khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1704194
Yote Tisa kumi , Vanny boy anakojoa pazuri wazee ,konde boy sjui anakwama wap , ukimchek mama zuu yupo kushoto kushoto tuu, Sara naye alikuwa Hana tako [emoji3][emoji39]
Lazima watu wamuonee wivu Tu mtu mbadi Vanny boy .....hii ndo inaitwa beautiful tight pussy .... Vijana tafuteni hela acheni utani[emoji3][emoji3][emoji39]
Mtu ana miaka 19 ni mdogo.. Acha umama ww..