Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.

Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.

Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
 
SHERIA YA UCHUMBA NO. 5 KIPENGELE CHA 2 INASEMA "SIO BUSARA KUMSOMESHA MCHUMBA HASA WA KIKE"

FB_IMG_16431671079760923.jpg
 
wcb kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.

huyu kijana rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.

nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Mkuu hiyo connection unayo? Tuma pm bc
 
Yule kwani ni mchumba au ni gelofrendi tu?
 
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.

Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.

Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Matendo ya wanaume 18:22
'...mchumba wa kike hasomeshwi. Ukimsomesha inakula kwako'
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikawa nimempenda nikamtongoza akanielewa
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuomba kazi na nikamdhamini

Mkuu kama uliamua kumsaidia sasa unamganda ganda wa nini chief.Ofcz imenisikitisha lakin for ur own safety ukimsaidia mtu (regardless mwanaume au mwanamke) bas temana nae acha ka bisa kum tail..Labda mwenyewe akukumbuke na hiyo inatosha kumsoma akl yake.Pole sana ila usiache kusaidia.WHAT HURTS PEOPLE NI EXPECTATIONS
 
Unajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama mapenzi yalitangulia asi hapo una kla sababu..Pole sana
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimetafuta neno baya la kuchukua nafasi ya ubaya na kukosa akili kwa mwanamke lakini nimekosa, maneno yote hayatoshi.

Mwanamke ni kiumbe kisicho na akili na shukrani.

Tabia mbaya za wanawake zinazonikera ni dharau (ukionyesha kumjali na kumpenda), na kutoonyesha ushirikiano.
 
Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

I see!!..
Ulitafakari mara mbili hii kauli..?..
Ni kwa nini kauli yako ni ya kuwaweka wote kwenye kapu moja.?
Wema na ubaya unaweza kufanyiwa na jinsia yeyote ile kwa kiwango chochote kile.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom