Mkuu hiyo connection unayo? Tuma pm bcwcb kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.
huyu kijana rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.
nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Ntumie mkuuwcb kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.
huyu kijana rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.
nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Madogo hawaelewi hizi mambo.SHERIA YA UCHUMBA NO. 5 KIPENGELE CHA 2 INASEMA "SIO BUSARA KUMSOMESHA MCHUMBA HASA WA KIKE"
Matendo ya wanaume 18:22WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.
Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.
Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Mkuu kama uliamua kumsaidia sasa unamganda ganda wa nini chief.Ofcz imenisikitisha lakin for ur own safety ukimsaidia mtu (regardless mwanaume au mwanamke) bas temana nae acha ka bisa kum tail..Labda mwenyewe akukumbuke na hiyo inatosha kumsoma akl yake.Pole sana ila usiache kusaidia.WHAT HURTS PEOPLE NI EXPECTATIONSNilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuomba kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa
Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamaa alikua ameisimami kinoma. HatariConnection ipo.. Ila paula alitiwa vibaya
Unajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kaziMkuu kama uliamua kumsaidia sasa unamganda ganda wa nini chief.Ofcz imenisikitisha lakin for ur own safety ukimsaidia mtu (regardless mwanaume au mwanamke) bas temana nae acha ka bisa kum tail..Labda mwenyewe akukumbuke na hiyo inatosha kumsoma akl yake.Pole sana ila usiache kusaidia.WHAT HURTS PEOPLE NI EXPECTATIONS
Kama mapenzi yalitangulia asi hapo una kla sababu..Pole sanaUnajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimetafuta neno baya la kuchukua nafasi ya ubaya na kukosa akili kwa mwanamke lakini nimekosa, maneno yote hayatoshi.Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini