Mwenye connection plizWCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.
Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.
Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
[emoji2772][emoji2772]Wangap bado hamjapata connection nyoosheni mikono niwatumie
Asante umeniongezea kituNilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikawa nimempenda nikamtongoza akanielewa
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa
Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aiseee poleUnajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️Wangap bado hamjapata connection nyoosheni mikono niwatumie
🖐️🖐️🖐️🖐️Wangap bado hamjapata connection nyoosheni mikono niwatumie
Mimi hapaWangap bado hamjapata connection nyoosheni mikono niwatumie
Ni dm na mm mkuu niipateNishakutumia na wew sambaza upendo
Ukisikia MTU kapigwa t#k@ mbili ndo Ile connection sasa.. yani DK 1 sec 28 jamaa kashamaliza michezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.
Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.
Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Hivi haya mambo huwa ni kweli?Tayar
akikutumia nitumie na mimi.Ni dm na mm mkuu niipate
The fall of every great man is a woman. Pole sana chiefUnajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata hizo DK 1 sec 28 jamaa kajitahidi Sana.Ukisikia MTU kapigwa t#k@ mbili ndo Ile connection sasa.. yani DK 1 sec 28 jamaa kashamaliza michezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa kuzoomNdo yeye matako yake nayajua vzriiì