Rayvanny; Nitaondoka WASAFI (WCB) kwa amani

Hawezi kusema ila moyoni Dogo anaumia sana, Mkataba wake na Wcb ni unyonyaji wa hali ya juu 70% yote ni ya Boss yeye anabakiwa na 30%
Kaingia hapo hana hata 100 wala kigari
Alichapata ashukuru...aendelee kukomaa tu
Asonge mbele
Mjinga siku zote wakat wa kwenda tu wakati wa kurudi ushakuwa mjanja

Ova
 
We hujui unachokiongea...Mindset ya biashara ipo hivi: Kabla ya kolabo msanii anaangalia iyo collabo itamletea yeye manufaa gani katika mziki wake, kumbuka siku izi mziki ni kitega uchumi na sio burudani tu kama ilivyokua awali.

Sasa collabo ya Mbosso na barnaba itamsaidia nini mbosso?? Apo sanasana ataenufaika na iyo collabo ni Barnaba na sio mbosso.
 
Mjinga wewe Wizkid anafanya ngoma featuring TENI msanii mpya.

Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei.

Roho hiyo wangekuwa nayo wakina USHER Raymond hata Justine Bieber tusingemuona mende wewe
 
Mkuu ukishakua msanii mkubwa na unahit song za kutosha wasanii wadogo kwa wakubwa wanakufuata tena kwa malipo

Ila wasanii wakiogopa kufanya kolabo na wewe kwa kuhofia media kubwa kama clouds kutowapiga nyimbo zao ujue utapotea tuu

Mondi kinacho mbeba ni Media yake bila hivyo angekufa kifo cha mende
 
Mafanikio ni pesa, unataka kunambia rayvany ana pesa kushinda aslay ?
U cant be serious bruh!!! Unamfananisha Vannyboy na Aslay??
.
Tukiachana na malipo ya shows, rayvanny ni msanii wa pili kwa wanaoongoza kwa kupokea mtonyo mrefu kutoka kwenye digital platforms... Wakwnza ni Diamond, then rayvanny, then Harmonize, then Alikiba and so on
 
Ivi kweli msanii mkubwa utegemee kulipwa hela nzuri na msanii mdogo et kisa kufanya collabo?? izo mbona akili za usiku
.
Mfano tu mdogo, videos za wasafi zinarange kuanzia 10M kwenda juu, kuna msanii mdogo atakae weza kumudu izo cost
 
Huo mtonyo anaupata wote au anagawana na boss wake?
Maisha ya rayvany nje mtandao Hana tofauti na barnaba, mziki wa Sasa ni pesa Kama huna pesa mafanikio kwake bado Sana.
 
Nonsense

No wonder muziki wa kibongo hauna taste..
 
[emoji3]
 
Ivi kweli msanii mkubwa utegemee kulipwa hela nzuri na msanii mdogo et kisa kufanya collabo?? izo mbona akili za usiku
.
Mfano tu mdogo, videos za wasafi zinarange kuanzia 10M kwenda juu, kuna msanii mdogo atakae weza kumudu izo cost
Fanya utafiti kabla ya kubishana boss.
 
Mjinga wewe Wizkid anafanya ngoma featuring TENI msanii mpya.

Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei.

Roho hiyo wangekuwa nayo wakina USHER Raymond hata Justine Bieber tusingemuona mende wewe
Tuliza tako we mzee, Pensheni Isikuchanganye...Sisi ndo vijana

TENI yupo chini ya MAVIN records inayomilikiwa na Don Jazzy, kuimba na starboy obvisiosly connection imetumika...lakini sio kwamba wizkid ana roho nzuri kiasi cha kusema ataimba na kila msanii mdogo
 
Una kichaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…